Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,550
Ss kwenye manifestation ndo uwafananishe?🤣Sijakataa, hata wewe unaweza kuwa hivyo , ...jifungie na uwe serious kusoma bible. Issue ni manifestion ya hilo Neno.
Ww unajua kazi ya mwalimu na kazi ya mtume,nabii, mchungaji, muinjilisti?
Ulijua kazi zao na tofauti zao hutahangaika na hiki umachokitafuta hapa
