MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,971
- Thread starter
- #181
Ukisema hauna dhambi..basi haujaijua kweli badoOK,it's just a satanic&stupidity opinions
Okoka,acha dhambi!
Ukisema hauna dhambi..basi haujaijua kweli badoOK,it's just a satanic&stupidity opinions
Okoka,acha dhambi!
Mods eeh, nitoleeni huyu HAIKA RUBEN kwenye thread yanguHuyo niliyemquote na kumuandikia hivyo wewe unamfahamu ?....
Umejuaje ni mwanaume au alikuonyesha uume wake ?
Au mk***u unakuwasha..?
Sijakataa bro.... Mwamposa yeye anatembea beyond the Bible...., Keshavuka pigo anazotembea nazo Mwakasege.Mwakasege anatembea kwenye misingi ya biblia ambayo ndio msingi wa ukristo
Jiheshimu basi, huyo mtu wako ni tapeliSisi Mtume wetu anafundisha namna human spirit inavyoweza kufanya Kazi kwenye human soul.
Tena anasema, haipendezi hata kidogo human soul KUSHINDWA kuwa connected na human spirit.
Ndio maana maneno yake yana nguvu sana na tena yana mamlaka ya kuponya, kutenda miujiza ....na tutaendelea kujazana kwake....sio wakristo tu au waislam ...yani ni watu wa dini zote....we ushaona wapi kitu ya namna hii?
Mwakasege mbona kashindwa kuwaconvise madhehebu mengine wamfuate?
Sema AYAYAYA
Mkuu wewe ni jinsia gani? Mbona unaongea mambo ya hovyo kabisa tena waziwazi??Bro...mtu alikua hoi kitandani...akanywa maji na Mafuta , akapona.
Mtu alikua analima heka 8 na kupata gunia 2 za mahindi...kisha anaweka Udongo, Mafuta na Maji ya upako ,..mavuno yanakua kedekede....kiini macho kipo wapi hapo?
Makubwaa!!!🤔🤔Vipi kuhusu nyomi? Check la Mwamposa....daah kama la Yesu kabisa yani!
Nani mtenda miujiza?? Utasikia watu " YESU"
Na wewe nasema pokea watoto mapacha!!!! AYAYAYA!!!!
kwanini umeongelea sadaka?Hao wote majambazi tu, Ibada malipo yake mbinguni,sadaka ni kwa maskini si kwa walimu wala manabii.
Kwahiyo unataka kusema posa ametoka kwenye unyoofu na kuingia kwenye upindifuSijakataa bro.... Mwamposa yeye anatembea beyond the Bible...., Keshavuka pigo anazotembea nazo Mwakasege.
Kama ya Mwamposa tu,
Oya....mbona mbishi sana we jamaa? We Muha wa Kigoma nini?
Imagine hadi yanakanyaga mafuta yanajifia huko. Mijinga mno
Ndo utapeli huoLeo kuna semina ya Wamama wenye mimba
Same future! 😂😂😂😂Watumishi wa Mungu hawaoneanagi miwivu ya sadaka, au miwivu ya kufukuziana kondoo.
Assignment huwa ni Moja tu...kuchunga kondoo na kuhakikisha zote zinafika kwenye the same future.
Mwakasege Yuko idara ya usalama wa taifa tiss na hata mkapa aliposhika nchi mwaka 1995 alienda nae USA kwenye ziara ya kukuza uchumi (mwakasege kitaaluma ni mchumi) alipofika kule ndipo akapewa roadmap ya kucheza na uchumi wa Tanzania Incase serikali ikiboronga! Kwao mwakasege ni tukuyu nyuma ya mji kidogo TU Kuna shule ya msingi amejijengea nyumba kubwa ya kawaida ila Ina matofali yale ya stendi ! Binti yake kuwa pilot wa Rais sio jambo dogo baba amefanyiwa vetting kubwa akiwemo daktari wa Nyerere Dr David homeli mwakyusa aliyekuwa mkurugenzi wa hospital ya taifa ya muhimbili! Kiufupi mwakasege ni tiss 100%Jamaa simuelewagi kabisa mafundisho yake...is like...mtu ambae kasoma kitabu cha THINGS FALL APART afu anakuja kutusimulia kilichoandikwa kwenye hicho kitabu kwà kutumia Akili yake.
Unamaanisha nini kaka ?Unafananisha vitu 2 tofauti, hao ni watu wanaotumikia falme 2 tofauti kaka...
Mwakasege Yuko idara ya usalama wa taifa tiss na hata mkapa aliposhika nchi mwaka 1995 alienda nae USA kwenye ziara ya kukuza uchumi (mwakasege kitaaluma ni mchumi) alipofika kule ndipo akapewa roadmap ya kucheza na uchumi wa Tanzania Incase serikali ikiboronga! Kwao mwakasege ni tukuyu nyuma ya mji kidogo TU Kuna shule ya msingi amejijengea nyumba kubwa ya kawaida ila Ina matofali yale ya stendi ! Binti yake kuwa pilot wa Rais sio jambo dogo baba amefanyiwa vetting kubwa akiwemo daktari wa Nyerere Dr David homeli mwakyusa aliyekuwa mkurugenzi wa hospital ya taifa ya muhimbili! Kiufupi mwakasege ni tiss 100%