Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Mwl. Mwakasege VS Mwamposa

Basi mtume amemzidi MWAKASEGE sababu anatumia teknologia ya tehama, MWAKASEGE yupo NYUMA sana kidigitali. Hakika Dunia ipo kiganjani
Hana tv , anategemea tv za wengine. Na kaanza gemu muda mrefu. Poor planning
 
Hahahahahah Mwakasege bana.....

Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.

Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...

Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?

Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!

Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
of course wote wawili wanahitaji kuokoka. mmoja ni nabii wa uongo kabisa na mwingine ni mwalimu anayesoma vitabu vya wenzake na kwenda kufundisha watu wasioelewa watakaomshangilia kwamba ni mambo yake kumbe copy and paste tupu. wokovu wa ndani ajuaye ni Mungu.
 
Je anaenda nje ya mandiko?je anapotosha?je kusoma vitabu vya wengine ni dhambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli, anaenda nje ya maandiko. na hajui hata anachofundisha. mfano mmoja tu nitakupa, wanawake wengi na ndio wahanga, wamejazwa uongo kwamba "MZALIWA WA KWANZA NI LANGO". haya ni mafundisho ya kinaijeria aliyacopy kwenye kitabu gani sijui huko, akayaleta kama yalivyo. NIgerians wana cults na baadhi ya makanisa ya aina hiyo hufundisha yale yanayomfurahisha shetani kwasababu ndiye wanayemtumikia ili awapatie kipato. fundisho hili ni la uongo na mwalimu wenu huyo amewapandikiza wanawake wengi sana Tanzania. kwanini nasema ni la uongo?

1. wengi wetu humu sio wazaliwa wa kwanza, kaka zetu wa kwanza kuzaliwa hawajafanikiwa kama sisi. hapo wao kama wazaliwa wa kwanza ila wameharibikiwa mbona hawajatuzuia sisi kufanikiwa?

2. wengi wetu humu tunatoka familia ambazo mtoto wa kwanza alikufa kichanga, wa pili alikufa udogoni, wengine ni uzao wa nne ndio wameanza kusavaivu. je? kule kufa kwa wazaliwa wa kwanza ina maana malango yalikufa? uwongo mtupu.

3. ukweli usiopingika ni kwamba, LANGO NI YESU KRISTO, huyo ndiye lango kwanza la kuingia katika uzima wa milele, na pili kupata baraka za rohoni. hatupati baraka za rohoni kwa kupitia wazao wa kwanza, tunapata baraka za rohoni kwa kupitia Yesu Kristo, huyo ndiye mzaliwa wetu wa kwanza kwani alikuwepo tangu awali na ndiye wa kwanza kufufuka katika wafu na kuishi hadi milele ijayo. huwezi kumwona Mungu bila Jina la Yesu kama lango, huwezi kupata uzima wa milele bila Yesu, huwezi kupata baraka toka kwa Mungu bila Yesu, bila yeye hatuwezi kufanya jambo lolote lile. kuhubiri kwamba mtoto wa kwanza ni lango, ni uongo kwasababu tunapozaliwa kila mtu anazaliwa akiwa na wajibu/talaka zake za kuzifanya hapa duniani na kila mtu atabeba mzigo wake na atatoa hesabu yake mwenyewe. hakuna connection yeyote kati ya mzao wa kwanza na wa mwisho au yeyote kiroho. hata mapacha wa kufanana kila mtu yupo kivyake. shetani ameingiza uongo huu kwa watumishi ili kupotosha na wao wamekazana kufundisha wasiyoyajua. wanajazana uwongo wa watu wanaoishi kimwili na maisha ya watu wa agano la kale kabla Yesu hajaja. tangu Yesu aje, hakuna lango lingine katika ufalme wa Mungu iwe financially au vyovyote vila, ila Yesu tu.

4. Mwalimu wenu hajaokoka, kwasababu huwezi kusema umeokoka ukabaki palepale kwenye mafundisho ya katekisimo na litulgia, na wote waliokuzunguka hawajaokoka na hawana Roho Mtakatifu. msichangamane pamoja na wasioamini (huu mstari huwa anauruka). anaweza kuwa na nia nzuri tu ila bado yupo kwenye kifungo cha dini. haiyamkini kama angekuwa ameondoka, angekuwa mtumishi mkubwa sana. na inawezekana haondoki kwasababu Mungu hajaongea naye ili aondoke, na pengine Mungu haongei naye kwasababu sio mtu wake, kwasababu sio kila anayehubiri Biblia ni mtu wa Mungu. kama angekuwa mtu wa Mungu kweli si angeshaambiwa na Mungu kila Biblia inasema? kubaki kufungoni pamoja na waimba litulgia, au wale wanaosema tuombe halafu wanaanza kusoma kwenye kitabu badala ya kuongea na MUngu, hapo anapoteza muda.

lakini simlaumu kwasababu anapiga sana pesa, semina zake akihama anaweza asizipate. yeye ni mwanauchumi by profession na ni kawaida kuwa ameona ni fursa.

HUU NDIO UKWELI MCHUNGU. povu ruksa.
 
Nilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.

Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Wewe muelewe huyo papa msofe mwamposa
 
Nilimsikia kwenye ile semina ambayo aliifanya kabla hajaenda Dar juzi Kati.

Nimesema anamponda Mwamposa kwà siri sana...bila kumtaja but kwà kutaja mambo anayoyafanya....anatumia akili kubwa sana kuingiza mabango yake kwà waumini wake ili wasiende kwà Mwamposa...aka the BULLDOZER
Huo ni uongo kabisa!

Mwakasege hana waumini, yeye si Mchungaji wala hana Kanisa analochunga. Watu wanookoka kwenye semina zake hujabidhiwa kwa Wachungaji walio tayari kuwalea.

Mwakasege hana tabia ya kumponda mtu, awe mhubiri au mtu mwingine yeyote yule. Hata ikitokea watu wamemzushia, huwa hahangaiki kuwajibu.

Ulichosema hapo juu mi mtazamo wako binafsi, na si tabia ya Mwakasege.
 
ni kweli, anaenda nje ya maandiko. na hajui hata anachofundisha. mfano mmoja tu nitakupa, wanawake wengi na ndio wahanga, wamejazwa uongo kwamba "MZALIWA WA KWANZA NI LANGO". haya ni mafundisho ya kinaijeria aliyacopy kwenye kitabu gani sijui huko, akayaleta kama yalivyo. NIgerians wana cults na baadhi ya makanisa ya aina hiyo hufundisha yale yanayomfurahisha shetani kwasababu ndiye wanayemtumikia ili awapatie kipato. fundisho hili ni la uongo na mwalimu wenu huyo amewapandikiza wanawake wengi sana Tanzania. kwanini nasema ni la uongo?

1. wengi wetu humu sio wazaliwa wa kwanza, kaka zetu wa kwanza kuzaliwa hawajafanikiwa kama sisi. hapo wao kama wazaliwa wa kwanza ila wameharibikiwa mbona hawajatuzuia sisi kufanikiwa?

2. wengi wetu humu tunatoka familia ambazo mtoto wa kwanza alikufa kichanga, wa pili alikufa udogoni, wengine ni uzao wa nne ndio wameanza kusavaivu. je? kule kufa kwa wazaliwa wa kwanza ina maana malango yalikufa? uwongo mtupu.

3. ukweli usiopingika ni kwamba, LANGO NI YESU KRISTO, huyo ndiye lango kwanza la kuingia katika uzima wa milele, na pili kupata baraka za rohoni. hatupati baraka za rohoni kwa kupitia wazao wa kwanza, tunapata baraka za rohoni kwa kupitia Yesu Kristo, huyo ndiye mzaliwa wetu wa kwanza kwani alikuwepo tangu awali na ndiye wa kwanza kufufuka katika wafu na kuishi hadi milele ijayo. huwezi kumwona Mungu bila Jina la Yesu kama lango, huwezi kupata uzima wa milele bila Yesu, huwezi kupata baraka toka kwa Mungu bila Yesu, bila yeye hatuwezi kufanya jambo lolote lile. kuhubiri kwamba mtoto wa kwanza ni lango, ni uongo kwasababu tunapozaliwa kila mtu anazaliwa akiwa na wajibu/talaka zake za kuzifanya hapa duniani na kila mtu atabeba mzigo wake na atatoa hesabu yake mwenyewe. hakuna connection yeyote kati ya mzao wa kwanza na wa mwisho au yeyote kiroho. hata mapacha wa kufanana kila mtu yupo kivyake. shetani ameingiza uongo huu kwa watumishi ili kupotosha na wao wamekazana kufundisha wasiyoyajua. wanajazana uwongo wa watu wanaoishi kimwili na maisha ya watu wa agano la kale kabla Yesu hajaja. tangu Yesu aje, hakuna lango lingine katika ufalme wa Mungu iwe financially au vyovyote vila, ila Yesu tu.

4. Mwalimu wenu hajaokoka, kwasababu huwezi kusema umeokoka ukabaki palepale kwenye mafundisho ya katekisimo na litulgia, na wote waliokuzunguka hawajaokoka na hawana Roho Mtakatifu. msichangamane pamoja na wasioamini (huu mstari huwa anauruka). anaweza kuwa na nia nzuri tu ila bado yupo kwenye kifungo cha dini. haiyamkini kama angekuwa ameondoka, angekuwa mtumishi mkubwa sana. na inawezekana haondoki kwasababu Mungu hajaongea naye ili aondoke, na pengine Mungu haongei naye kwasababu sio mtu wake, kwasababu sio kila anayehubiri Biblia ni mtu wa Mungu. kama angekuwa mtu wa Mungu kweli si angeshaambiwa na Mungu kila Biblia inasema? kubaki kufungoni pamoja na waimba litulgia, au wale wanaosema tuombe halafu wanaanza kusoma kwenye kitabu badala ya kuongea na MUngu, hapo anapoteza muda.

lakini simlaumu kwasababu anapiga sana pesa, semina zake akihama anaweza asizipate. yeye ni mwanauchumi by profession na ni kawaida kuwa ameona ni fursa.

HUU NDIO UKWELI MCHUNGU. povu ruksa.
Aisee! Kumbe Mwakasege hajaokoka! Maajabu hayaishi Tanzania. Kama hajaokoka, lakini anawahubiria watu na kuwaongoza sala ya toba kwa ajili ya kuokoka, basi huo nao utakuwa ni muujiza "extra ordinary "
 
ameokoka kutoka wapi na kwenda wapi? wewe unasali lutheran ambako tunajua hawajaokoka, sisi wenyewe tulikuwa huko na tunajua usaliji wa huko ulivyo na kwamba hakuna Mungu, unakusanya watu na kuwahubiria, unawaombea sala ya toba na kuwaacha hapohapo wafundishwe mafundisho yaleyale manyonge yasiyookoa, wakusubirie hadi semina nyingine. wokovu ni kitu cha ajabu sana, usipokaa umezungukwa na watu waliookoka hata mwezi humalizi, hata kama ulikuwa na nguvu ya Mungu itanyonywa utakuwa mkavu na utaishi bila Mungu ndio maana lazima uondoke ukaungane na watu wenye imani ya kuokoka, huwezi kusema umeokoka ukaendelea kukaa kwenye imani ya watu wasiookoka. ni nguvu kulielewa hili kama wewe ni mfuasi wa mwakasege.

Kanisa la lutheran halihubiri wokovu, ndio maana bado wanatumia vitabu hata kusali, ile liturgia, katekisimo mtu anasoma na kuwaambia watu amesali, wameibuka watu miaka kadhaa iliyopita, wanafeloship, hawa walikuwa wanafuata desturi za wokovu, na ninafikiri hata mwakasege aliibukia huko (new life in christ), lakini still maaskofu na wachungaji wanawapinga. Malasusa hadi alimsimamisha Kimaro kijitonyama hoja mojawapo ilikuwa ni anatoka kwenye desturi ya kuabudu za kilutheran, wana desturi yao ambayo haipo mbali sanaa na desturi ambayo Martin Luther alitoka nayo Katoliki. hao fellowship wanaokoka wanaabudu na Mungu anaonekana lakini wachungaji wao wanawapinga, maaskofu ambao tunajua wanashinda kwa waganga na wana mambo ya ajabuajabu wanawapinga, wanataka walutheran wabaki kwenye desturi zileee za kuabudu. NDIO MAANA TUNASEMA, hata kama utaokoka na kubaki hapo umepoteza muda, haujaokoka.

kutubu ni kitu kimoja, ila kuuishi wokovu ni kitu kingine. kuuishi wokovu kunahitaji mtu akishaokoka anaanza kulishwa chakula kama cha mtoto amjue Mungu hadi baadaye awe mtu mzima kwenye wokovu. sasa wachungaji na maaskofu wanaokuongozeni hawajaokoka na wewe unahubiria mtu na kumwacha mikononi mwa mchungaji asiyeokoka, unategemea atamfundisha mafundisho ya kuukulia wokovu hadi asimame? kutubu ni kitu kimoja, kuuisho wokovu ni kitu kingine, unaweza kutubu leo kwamba unaokoka, mwezi mmoja tu umekuwa mtoto wa shetani mzuri tu kwasababu haujalishwa chakula, haujachungwa na mtu aliyeokoka. this is the reason tunasema mwalimu wenu interest yake huwa ni kusustain watu watakaokuwa wanampa sadaka akiweka semina, ila sio kuwasaidia waokoke. kulikuwa na tetesi anataka kufungua ministry yake Dodoma kule anakotaka kujenga kambi, hatujui kama ni kweli, angefanya hivyo pengine wale wanaookoka angewabeba yeye mwenyewe akawafundishe mafundisho ya wokovu kuliko kuwatelekeza mikononi mwa watu wasio na chakula cha uzima.

Mwalimu wenu angekuwa amekulia kwenye mafundisho ya wokovu, asingekuja na fundisho la mzaliwa wa kwanza au la ukombozi wa vitu.

HAYA NIMEANDIKA HAUTAELEWA KAMA HAUJAWAHI KUOKOKA, NA WENGI WANASEMA WAMEOKOKA ILA KIUKWELI HAWAJAWAHI HATA KUKUTANA NA MUNGU WAKAFUNULIWA SIRI ZA AINA HII, NA WENGI WANAOGOPA KUSEMA UKWELI HUU KWASABABU MWALIMU WENU ANA WAFUASI WENGI SANA WANAOJIFARIJI KWAMBA WAMEOKOKA KUMBE SIO.
 
Acha mtazamo wa udini ndugu! Ni vigumu kuutenganisha udini na chuki, na chuki ni dhambi kama ilivyo dhambi ya uuaji. Mwenye chuki ni muuaji!

1. Unamaanisha nini kusema ninasali Lutheran ?

2. Unajua maana ya kuokoka?

3. Mwakasege kakukosea nini? Mbona kama una hasira naye?
 
Walokole huwa mna dharau sana....mnaushi kama mbingu mmeshaiona
....Eti mwalimu wenu!!!...
 
nimejaribu kufunguka ili nikusaidie. wewe mwenyewe umejiengua kwamba sio mlokole ndio maana unaniita mimi "walokole". okokeni mpate uzima wa kweli, mnapoteza muda. nimeita mwalimu wenu kwasababu sio wa kwetu, mtu anayefundisha watu na kuchukua sadaka, kwamba mzaliwa wa kwanza ni "lango", au kukomboa vitu, huyo ameijua lini kweli? sisi tunajua LANGO NI YESU KRISTO, kifo chake msalabani kinaweza kuitua mizigo yetu yote, mizigo ya dhambi, mizigo ya magonjwa, umasikini na vifungo vya kila aina. mtu yeyote awe mzaliwa wa kwanza, wa pili au kitindamimba sio lango kwa mtu, mwanadamu sio lango kwa mwezake, kila mtu amezaliwa Mungu akiwa ameweka talanta tofauti na ya mwenzake, na ndio hizo talanta siku ya mwisho kile mtu atakuwa accountable. sio vizuri tuwafiche, bora tuwaambie ukweli, uwaume, na muamue wenyewe kusuka au kunyoa. ANAWADANGANYA.
 
of course wote wawili wanahitaji kuokoka. mmoja ni nabii wa uongo kabisa na mwingine ni mwalimu anayesoma vitabu vya wenzake na kwenda kufundisha watu wasioelewa watakaomshangilia kwamba ni mambo yake kumbe copy and paste tupu. wokovu wa ndani ajuaye ni Mungu.
Kwani kuna shida gani kama anasoma Vitabu vya wengine? Kwani hao wengine wameyatoa wapi waliyoyaandika kwenye vitabu vyao?

Hakuna mtu ambaye ni "self made!" Ukiona mtu yupo juu, ujue ni kwa sababu kasimama kwenye mabega ya waliomtangulia.

Ni sahihi kabisa kufundisha mambo mazuri uliyosoma kwenye vitabu vizuri. Kama kimekusaidia, wafundishe na wengine ili nao wasaidike.

Kwa hiyo kama Mwakasege anayatoa mahubiri yake kwenye Vitabu vya wengine, japo sina uhakika, atakuwa sahihi.

Ndivyo Mwalimu anavyopaswa kufanya. Kusoma kwanza kila anapotaka kufundisha.

Kama Mwakasege anafanya hivyo, ni uthibitisho kuwa ni Mwalimu aliye "up to date"
 
Huna Akili kumfananisha Mwalimu Mwakasege na huyo Mtume Wenu ni sawa na Kumfananisha Lionel Mwakasege Messi wa PSG FC ( France ) na Clement Mwamposa Mzize wa Yanga SC ( Tanzania ) sawa?
Ha ha ha
 
Back
Top Bottom