Huwezi kufika mbinguni bila kuwa na Mafuta bro!
Upo Mwanza , na unataka ufike Dar, bila Mafuta?? Kah!!!
Mafuta ya kwenda mbinguni unajua lakini?
Huwezi kufika mbinguni bila kuwa na Mafuta bro!
Upo Mwanza , na unataka ufike Dar, bila Mafuta?? Kah!!!
Hana nguvu zozote zaidi ya kutia watu mihofu, miwoga, miwasiwasi na mimashaka ya hovyohovyo. Kiburi, jeuli , dharau...
Refer Wana wa Israel na farao
Kama ya Mwamposa tu,Mafuta ya kwenda mbinguni unajua lakini?
Wengi mnaosali kwa MWAMPOSA mna matatizo ya kisaikolojia na wengine mna matatizo ya akili, mimi nna ndugu na jirani akili zao hazipo sawa kwa hio wanamchukulia Mwamposa ndio km MUNGU wao yaani hili ni tatizo kiukweli you feel like your outcastsSisi Mtume wetu anafundisha namna human spirit inavyoweza kufanya Kazi kwenye human soul.
Tena anasema, haipendezi hata kidogo human soul KUSHINDWA kuwa connected na human spirit.
Nyie ndo mnaowachanganya...mnawadanganya kuwa Mwamposa ni freemasonWengi mnaosali kwa MWAMPOSA mna matatizo ya kisaikolojia na wengine mna matatizo ya akili, mimi nna ndugu na jirani akili zao hazipo sawa kwa hio wanamchukulia Mwamposa ndio km MUNGU wao yaani hili ni tatizo kiukweli you feel like your outcasts
Wengi wenu upstairs hampo sawa mna matatizo lukuki yaan mioyo yenu Ina majeraha makubwa sana mioyo yenu inawaka moto kila siku mkilala mnaamka na kilio kipya, kwa Mwamposa mnafuata faraja sio uponyaji ni faraja tu ya neno la Mungu lililotiwa nakshi na udambwi dambwi na bwana Mwamposa maana mkilala mkiamka Mambo yapo vile vile hakuna kinachobadirika
Nakwambia kwa ninaoishi nao waumini wa Mwamposa na nawaona ni kupeleka sadaka tu na kupata faraja ya moyo lakini akiamka kesho Mambo bado yako vile vile nothing changed,
Na nifike mbali kwa kusema wengi wao especially wanawake ni wadangaji wakubwa sana na wanakwenda kupata faraja kwa Mwamposa, wengine ni single mothers wameachwa na wanaume wao
Kwa hio faraja ni kwa Mwamposa si kwamba Mwamposa anatoa uponyaji no hio naipinga maana wengine wamejikatia tamaa ya kwenda kwa Mwamposa sasa hawaendi tena wameamua kubaki tu mtaani maana wanaona wanapeleka tu sadaka na Mambo yao yapo vile vile hakuna kinachobadirika kinachofuata ni kubadiri uelekeo
Nifunulie hilo andiko ulilofunuliwa na Holy Spirit linalosema tule keki za upakoImo kwenye biblia ila mpaka ufunuliwe bro!
Ufunuliwe na Holy Spirit na sio Holy Ghost
Sema nini...kiukweli jamaa yupo vizuri...amenyooka....hana mbamba...hajalogwa...kwao hamna hata chizi....upako wake si wa kitoto...yani jamaa ukikuuliza unataka watoto mapacha, hata kwenu kama hakuna mapacha ..unadaka mapacha...we ushaona wapi hii kitu hapa Tz?Chawa wa mwamposya
Yesu alibadiri maji kuwa divai...hapo vipi?Nifunulie hilo andiko ulilofunuliwa na Holy Spirit linalosema tule keki za upako
Hiyo nimeona Kwa waganga wa kienyejiSema nini...kiukweli jamaa yupo vizuri...amenyooka....hana mbamba...hajalogwa...kwao hamna hata chizi....upako wake si wa kitoto...yani jamaa ukikuuliza unataka watoto mapacha, hata kwenu kama hakuna mapacha ..unadaka mapacha...we ushaona wapi hii kitu hapa Tz?
Nasemaje? Mwamposa kweli ni bulldozer
Sasa unaambiwa hao waganga wa kienyeji ndo wamejazana hapo kwà Mwamposa wakirejesha matunguli yao.Hiyo nimeona Kwa waganga wa kienyeji
Hata kama mwanamke hajaolewa, mdangaji, anapigwa miti na mume wa mtu, mpagani na hana tumaini lolote la Mungu au kuokoka, yaani wote wa dizaini hiyo wakiwa kwa Mwamposa wanashuhudia kupata watoto au mapacha!Sema nini...kiukweli jamaa yupo vizuri...amenyooka....hana mbamba...hajalogwa...kwao hamna hata chizi....upako wake si wa kitoto...yani jamaa ukikuuliza unataka watoto mapacha, hata kwenu kama hakuna mapacha ..unadaka mapacha...we ushaona wapi hii kitu hapa Tz?
Nasemaje? Mwamposa kweli ni bulldozer
OK,it's just a satanic&stupidity opinionsI have written what I know , and testified to what I have seen. That's it ! Period!
Ninachojuwa Mimi hawa wote Wawili ni Wanyakyusa. Wanyampala Malafyale hawa.Hahahahahah Mwakasege bana.....
Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza anawaomba sadaka.
Kuna siku nilimsikia akisema...siku akitoa somo la birthdaycake..watu watashangaa sana....akasema ni mambo ya giza na ya ajabu sana...afu baada ya hapo akachomekea...watoe sadaka....nikabadiri kabisa na chanel yake...
Hivi mnapata nini kuchonganisha waumini? Mbona Mwamposa huwa hawasemi vibaya kama mnavyomsema?
Sema nini....sio case...Mwamposa anaupiga mwingi sana...mtasubiri saaaaana!!!
Kama mmenielewa semeni ..." AYAYAYA!!!!"
Imagine hadi yanakanyaga mafuta yanajifia huko. Mijinga mnoMashabiki damu hao au hata ukute Ana hisa![]()
Kaandika Neno Sweet....utamuandikiaje Mwanaume mwenzio Neno hilo bana? Na saa hii ni usiku? Unatafuta nini au unataka nini?
Hao wote majambazi tu, Ibada malipo yake mbinguni,sadaka ni kwa maskini si kwa walimu wala manabii.huyu ni mwalimu na yule ni mtume. usiwafananishe/linganishe
Aposto kuna muujiza huku..!!
Anyway namkubali sana Mwalimu Mwakasege,masomo yake yamenivusha pakubwa. Hayo mengine sijui kwa kweli.
