Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

Mtahangaika sana, ila CCM itabaki kuwa ni zilipendewa!!!
CCM ilishakaribiaga kufa kabisa 2015, lakini sijui walitumia uchawi gani akina Lisu wakakubali kununuliwa - IKAFUFUKA
na leo inatutesa tumebaki tunashinda polisi, magereza na mahakamani.
 
Back
Top Bottom