Kampuni zote kubwa za Mitandao ya kijamii na Smartphone zina ofisi za uboreshaji wa teknolojia nchini Israel, wanalipwa kugundua ideas au feautures za kunogesha mitandao ya kijamii na simu.
Hata hivyo nchini Israel, kumekuwa na ongezeko au trend kwa watu kununua simu za zinazoitwa Kosher phones...
My Take
Kuna nyumbu watabisha na kuanza kutukana Walisema kibaraka anawania tuzo ya Mabeberu 😂😂
Kazi nzuri sana ya kuhuisha sera Bora za biashara na uwekezaji zimefanikisha wawekezaji wa ndani na Nje kuanzisha Viwanda vya kimkakati kama hivi.
Ushauri wangu ni tununue "Made in Tanzania",Mimi...
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱
Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋.
Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya.
Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)":
Modes &...
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi.
Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
Kama Nokia anataka kurudi ajitafakari Sana bado ana nafasi.
Simu za Nokia ZOTE smart na viswaswadu ni GHALI kishenzi LAKINI Zina hardware mbovu Sana hasa KWA smart za SASA .
Naposema hardware mbovu sina maana hazidumu ninamaanisha hardware zisizo na performance nzuri, mfano camera, zinaganda...
Habari ndugu na dada zangu.
Kama mnavyojua starehe ya kutumia smartphone Iko amazing hivi. Wiki iliyopita nili zidisha dozi ya kutumia kifaa hiki. Unakuta naperuzi hadi usiku wa saa 9 na dakika kibao kisha nalala .Kuamka saa moja asubuhi.Aisee!
Basi wiki hii nineshtukia afya yangu haiko...
Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
Kati ya feature phone na smartphone, smartphone ndiyo rahisi zaidi kuhackiwa, na hii ni kwa sababu zifuatazo:
1. Muunganiko na intaneti
Smartphone inaunganishwa mara kwa mara na intaneti (Wi-Fi, data), na hivyo kuifanya iwe rahisi kushambuliwa kwa njia ya mtandao.
Feature phone nyingi hazina...
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
Habari zenu wakuu
Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia
Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama:
-Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara...
Wakuu naomba kujua app au mfumo wa ku connect smartphone moja kuwa mic na nyingine ichukue video km unafanya interview.
Mfano kwenye picha nime screenshot hapo chini
Wakuu.
Sahivi naona kila kampuni la simu either lina models za ku-flip au ku-fold na kama hazipo sokoni basi wapo mbioni kutoa. Ni trend inayofanya vizuri.
Sasa hivi hadi makampuni ambayo uwa yanachukuliwa "poa" wametoa flip na fold.
Sasa kwa jinsi vidude vilivokua na bei kubwa, risk na...
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana.
Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
FCC sasa imeipa kibali Space X kulink smartphone na StarLink (Direct to Cell) yaani bila kutumia madish yao ya starlink kama tunavyosubili hapa bongo, hii feature ipo kwenye Generation ya pili ya Starlink lakini ilikuwa ikisubili vibali kwasabu ilihitaji kufanya satellite ziwe zina orbit kwenye...
Afya ya akili
kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa / kuolewa wewe bado, timu yako imefungwa inataniwa, kuna sherehe imefanyika hujaalikwa, n.k.
Kuongeza...
Habari wana Tech wa JF?
Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu
Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo
Nawezaje kuzirudisha?
Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.