Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. 😳.
Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google.
🌐 Lakini kuna jambo muhimu:
Hii...
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
Whatsapp itaacha kabisa kufanya kazi kwenye simu zenye matoleo ya Zamani jiandae 👋.
Watumiaji wa mtandao wa Whatsapp wanapaswa kujua kuwa Meta imesema itaweza kuzuia Whatsapp kufanya kazi kwenye matoleo ya simu ya kizamani.
Ambapo kuanzia Mtumiaji wa Android version 6.0 hiyo simu haitaweza ku...
Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake.
Ukiangalia maduka mengi ya...
Nazani Kuna watu toka wanunue simu hawajawahi kuizima hata mara moja ikitokea imezima basi chaji imeisha kabisa.
Mfumo wa uendeshaji wa simu Google operating system wa android toka Google, sasa wanaweka mfumo mpya wa kisasa wa uwezo wa simu kujizima yenyewe ndani ya siku tatu baada ya kukaa...
Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone.
Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo Tanzania, kampuni Mama ya Meta ambayo inamiliki mtandao wa Whatsapp itaweza kuzuia baadhi ya sinu zenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.