Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,698
- 12,428
Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika.
Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X",
"WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia yangu NISIZIKWE MPAKA MAMA ANGU Samia Suluhu afike ndio nizikwe . Tafadhali mama naomba uje unizike kama nitakutangulia mama" - Mwijaku
Nini maoni yako?
✍️ Mjanja M1