Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu wake anaowaongoza akieleza kuwa Rais Samia alipochukua madaraka alisema hataki kuendesha serikali kwa fedha za dhulma

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
well done PM,
UKO SAHIHI NA UNASEMA UKWELI 100% :ClapHD:
 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu wake anaowaongoza akieleza kuwa Rais Samia alipochukua madaraka alisema hataki kuendesha serikali kwa fedha za dhulma

Ipo dhuluma kubwa ya damu za watu inalia ardhini.
 
Nani alikuwa anaendesha nchi Kwa fedha za dhulma.. naona kama waanza tajana vile
Gentleman,
ni muhimu kuishi katika kauli sahihi na ya kweli ya Dr. Mwigulu na kuacha kubabaika na porojo au kujaribu kuingiza upotofu kwenye ukweli :NoGodNo:
 
Nimenukuu kauli, Motheri hataki fedha ya dhulma. Nani alikuwa anatumia hela ya dhulma
 
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imebahatika kupata Rais mwenye kuwahurumia watanzania ambaye hataki Kuendesha Nchi kwa fedha ya dhuluma.

Hivi huyu mwiguru alisoma kweli shule mbona simuelewi.
 
Kuna muda unaweza kuwa kwenye hali flani ya kucheka na hasira kali kwa pamoja!

Ni aibu nchi hii kuongozwa na viazi
Ni aibu sana!
 
Back
Top Bottom