Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Jamaa alivyosikia watu wanamsemasema akakurupuka kuongeza miaka! Sasa kama mpaka anasoma masters alijua amezaliwa 1975 ilikuwaje akaandika 1978? Labda atuwekee hapa na transcript ya B.A! Vinginevyo amechemkaaaaa!!!Basi atuletee kadi ya clinic.Huyu jamaa naona urais kaukurupukia kutoka usingizi wa pono! Kikwete kaiharibu taasisi ya urais sana na kama tutaendelea hivi hadhi ua urais kwa Tanzania itatokomea mbali!!!
Rais hawi hivi! Hii ni kashfa kubwa sana!
Siasa bwana ni hatari sana lakini tunaipenda itabidi tuingie tu hakuna jinsi, ila uwe umejiandaa kukumbana na hizi rabsha za hapa na pale. Jamaa wakati hajatangaza u-rais watu walikuwa kimya, kosa kutangaza tu yameibuka ya kuibuka, maana ile ya jina la mtu tulikuwa tumeshaizoea na kuona kama kawaida, sasa hii mpya ni hatari tupu!!! Nauona u-rais huoooooooooooooooooo na mabawa yake!! Atasubiri sana na mwaka huu UKAWA wanamng'oa kwenye jimbo sijui atakimbilia wapi!!!