Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

Huyo jamaa alirudiaga shule primary kwanza jina la Mwigulu na ndio mwanzo wa hizi shida!

Swali langu ni je? Huyo Mwigulu Nchemba Original yuko wapi? most likely hajasoma mana jina limeporwa!
 
mwigulu anawapeleka puta sana jamani, hazuilikiii oct 2015
Mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona..tunataka majina yake halisi hapa.inasemekena alipoka nafasi ya mtu mwingine aliyefaulu kwenda sekondari
 
Kuna watu wanamponda mchumi kama mwigulu wakati wao wana pass tena za sup na carry
 
Huyo jamaa alirudiaga shule primary kwanza jina la Mwigulu na ndio mwanzo wa hizi shida!

Swali langu ni je? Huyo Mwigulu Nchemba Original yuko wapi? most likely hajasoma mana jina limeporwa!

haka kajamaa mpaka ana miaka zaidi ya kumi alikua anachunga mbuzi wa baba ake pale chini ya mlima sekenke huwa .ajiuliza amesomaje huyu..
 
Siku chache baada ya Mwigulu Nchemba kupewa barua ya kumtaka ache ziara zake ,sasa wabaya wake wamejitokeza na kuleta visibitisho vinavyo onyesha Mwigulu amezaliwa miaka miwili tofauti. Wakati cheti chake cha masters kinaonyesha amezaliwa 1978 ,cheti cha form four kinaonyesha huyu jamaa amezaliwa 1975 Mwigulu njoo hapa utuambie ulizawaje miaka miwili tofauti. .. Source wall page IG by Alberto msando.
attachment.php

attachment.php

hapa mwenye majibu ni Rejao former ilboru student..
 
Last edited by a moderator:
Kuliwahi kuwa na uzi hapa kuwa Mwigulu aliiba jina la mtu, pengine tungeupata ule uzi ungesadia sana
 
pole Sitti Mtemvu kata rufaa mwaya maana mko wengi
 
"ukiwa unakaa kwenye nyumba ya vioo ukianzisha ugomvi usirushe mawe" za sinku nyingi mama
Nzuri kwa kweli,unajua kuliko lowasa,magufuli,makamba,nyalandu atleast nilikuwa namkubali Mwigulu ila na yeye hapa kanichanganya.
 
Back
Top Bottom