Anaupiga mwingi sana mwigulu.lipeni kodi nyie acheni kulialiaJeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Ana kitu inaitwa: academic arrogance. Anaamini yeye ana akili kuliko/kuwazidi wengine wote. Lakini ajue arrogance comes before the fall.Katika watu incompetent nchi hii imewahi kuwashuhudia Mwigulu ni namba moja.
On recordsAna kitu inaitwa: academic arrogance. Anaamini yeye ana akili kuliko/kuwazidi wengine wote. Lakini ajue arrogance comes before the fall.
Mama hana akili anachoweza n kula urojo tuYaani mwigulu ni bonge la falla, kumbe ndiyo maana magufuli alikuwa anamchukia na ha mwamini hata kidogo, yaani kapata ka upenyo kadogo tuu anamdanganya na kumchonganisha mama wa watu.......!
Alifanyaje hukoUmmy mwalimu mwenyewe kanjanja tu...juzi kwenye ajira za ualimu tamisemi amecheza prakatatumba za hovyoo sana...
Maendeleo mwayapenda kodi hamtaki! Mtamkumbuka sana Magu, pamoja na maendeleo yote tuliyoyafikia, bei za vitu vinavyoliwa na wanyonge zilibaki chini! RIEP&P our great and true African hero Hon Dr JPM 🙏)!Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu....
JF ya sasa kuna vilaza wengi sana...yaani wanafikiri Mwigulu anaweza kuamua peke yake....wakati mchakato wake ni mrefu na unawahusisha wabunge wote ,kamati ,baraza la mawaziri nk .Ingawa ni kweli Mwigulu ni kimeoEbu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako