na hapo ndipo anakosea angebadili uelekeo aanze na CUF, NCCR, n.k sasa mungu alivyomkubwa kitakachotokea atakuja kuwatukana hao hao CCM , ndiyo ilivyo theory ya mtu wa kubwa bwaja . na siku si nyingi atamtukana tu muheshimiwa JKMwigulu bila kutamka CDM angalau mara tatu kwa siku kama panadol 2x3x7 anakuwa mgonjwa mahututi
......alikuwa anamaanisha watakaoipenda Chadema watarushiwa mabomu na kumwagiwa Tindikali kama alivyommwagia Musa Tesha wa Igunga kisha kuwasingizia Chadema.Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
pier min mare...mkuu kiba nimeipenda hiyo sentesi ya mwisho
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
......alikuwa anamaanisha watakaoipenda Chadema watarushiwa mabomu na kumwagiwa Tindikali kama alivyommwagia Musa Tesha wa Igunga kisha kuwasingizia Chadema.
Ni kweli ametuweza sana ndiomaana alipoweka kambi Arusha Chadema tukachukua kata zote 4.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu mbona wanasema muhusika ni msomi mzuri tu, swali ni je ni kweli alitoa vitisho au watu wanamsingizia!! I am just curious.Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha