Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha

ni kama anataka kuwafikishia ujumbe kuwa ukiwa ccm hata ukifanya biashara ya kulevya hutakamatwa na kwa hiyo utakuwa tajiri, ukimwagia watu tindikali ndio cheo kinapanda!! MWIGULU KAFILISIKA KILA IDARA na mbaya zaidi hajitambui kuwa hata ndani ya cha chake hawampendi kabisa na kwamba ujeri wake wote mwisho 2015.Dhaifu akiondoka na faili lake linatupwa huko.
 
Sasa huo ulikua mkutano wa wanyiramba au maccm,mwiguru ni mnyiramba pekee anaehusishwa na matukio mengi yakutisha
 
eti selikari kuwa haita msaidiwa,,,, acha umbulula wewe serikali ni mali ya watanzania wote na kiukweli hapo nyie wote mnakula hela za walipa kodi sasa huyo panya buku asije hapa kututisha na wala hawezi kitu katika swala hilo na anajua kabisa kuwa hapo iramba sababu watu wao hawajaenda shule ila sie tunao jielewa wala hatuna shida yeyote
 
hivi huyu nchemba mbona anaingilia uhuru wa mtu binafsi hajui kuwa kila raia ana haki ya kujiunga na chama akitakacho nia aibu kwa msomi mzima kutoa kauli kama hiyo na anapaswa kulaaniwa
 
Tangia kutawaliwa na ccm ndo tulipojitenga na maendeleo
 
Ana maadui wawili tu , Dr Slaa na Shetani ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Poor Mwigulu ! Muda wa kikwete ukiisha utajibeba .
 
Chadema inakwenda kumng'oa mwigulu madarakani mwaka 2015 kwahiyo lazima apige mateke katika harakati za mwisho za kukata roho!
Kama kuna mtu wa Iramba alihudhuria kikao hicho akitarajia kwamba kutazungumzwa mambo ya maendeleo basi anatakiwa kujipima tena kama anaifahamu agenda ya mkoloni mweusi ccm dhidi ya nchi hii.
 
ktk viongozi wa ccm ambao hawana akili hata mwigulu ni mmoja wao.kazi yake nikuropokaropo tu.:tape::tape:
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

Pls! unaweza weka picha ya walioudhuria kikao hicho, kwani mwanzoni jana tulipiwe picha ya ukimbi ukiwa mtupu kabisaaaa.
 
Inahitaji akili ndogo sana kwa mtu kujifanyia tathmini na kujijua ukoje na jamii kwa ujumla inakufikiriaje. Haiingii akilini hata kidogo mtu wa umri wa mwigulu (35 yrs kama niko sahihi), kuishi kwa kutishia uhai na maisha ya watu kwa kauli na maneno yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Kwa umri huo ndiyo kipindi stahili cha mtu kufikiria na kuangalia kwa undani namna njema ya kulea na kukuza familia ambayo katika umri huo kwa wengi ndiyo bado change.

Kwa kauli zake na vitisho anavyotoa kwa watu (Igunga, Arusha, Iramba, Mbeya na kwingineko), hakika kama sio hii nchi kuendeshwa kihuni na vyombo vya dola kusubiri maagizo ya watawala ili vitende kazi yake; nchemba angekamatwa na kufikishwa kwenye mamlaka husika kwa makosa ya kutishia amani na maisha ya watu jambo ambalo na kinyume cha katiba ya nchi pia inayoruhusu na kuwataka wananchi kufanya mambo bila kuingiliwa ama kubugudhiwa na mtu yeyote.

Kwa upande mwingine, mtu kama nchemba anajisikiaje pale anapoonekana mjinga na kupuuzwa na watu wa rika tofauti (watoto, vijana na wazee) na hata wale anaoamini ni nyumbani kwake. Kikao alichoitisha jana ni ishara tosha kuwa hata hao anaofikiri wanaongea lugha moja kwa kuwa wanatoka eneo moja wanampuuza pia kwa matendo na tabia zake.

Kama kikao kilikuwa ni kwa minajili ya kujadili maendeleo ya jimbo lake ama huko atokako; masuala ya CHADEMA na viongozi wake kama Mhe. Zitto Kabwe yaliingiaje kwenye ajenda. Kwake yeye CHADEMA ndiyo kikwazo cha maendeleo na ahadi alizotoa kwa wananchi ama uwezo ndiyo umefika ukomo na sasa anatafuta sababu na mahali pa kutupa lawama na kuficha udhaifu wake. Ama hao anaodaia ndani ya CHADEMA hawana sauti, yeye kama nchemba ndiye ametumwa kuwa msemaji wao?

Kwa tabia, kauli na matendo ya nchemba, hakika hata akishushwa malaika wa kumshauri na kumuongoza huyo mtu hatabadilika na nguvu ya shetani imemsonga kila upande.
 
Watu mnahsira nimeamini! Hivi wajinga na werevu[walienda kuwaagalia wajinga] walihudhuria.
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

It depends! Kama Wanyiramba wote wana akili kama za Mwigulu Nchemba wataufuata ushauri wake, otherwise wana haki ya kummpuuza!
 
Ana maadui wawili tu , Dr Slaa na Shetani ! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Poor Mwigulu ! Muda wa kikwete ukiisha utajibeba .
Ngoja nikusahihishe kidogo....inavyoonekana shetani ni rafiki yake mkubwa.
 
chadema inakwenda kumng'oa mwigulu madarakani mwaka 2015 kwahiyo lazima apige mateke katika harakati za mwisho za kukata roho!
Kama kuna mtu wa iramba alihudhuria kikao hicho akitarajia kwamba kutazungumzwa mambo ya maendeleo basi anatakiwa kujipima tena kama anaifahamu agenda ya mkoloni mweusi ccm dhidi ya nchi hii.
mtani una maakiri mengi sana ! Yaeleka mamarhobi anakupa uji wa moto kira asubuhi tata!
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
Wasio na viongozi wa juu kwenye chama hiki tawala walie tu.
 
Naomba siku Mwigulu akitutoka basi awekwe jumba la makumbusho ili vitukuu wetu wapate historia
 
Ukisikiliza kauli zake, naunga mkono na Dr Slaa, aliposema "tatizo lake hakwenda shule, kama alikwenda basi, alipita tu kama ngombe kupita katika josho lisilo na dawa"
 
Si mlileta usi kuwa watu hawakuudhuri? Alihutubia viti?

Ndo maana wameamua kupiga picha ya high table pekee, maana kule walipokaa watu kuna viti vitupu isipokuwa waandishi wa habari. Kuna picha inayoonyesha waliohudhuria angalia gazeti la Tanzania Daima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom