Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Umechambuaaaaaaa hili ndio ufafanuzi wa utafiti wako?.... Halafu kwa mantiki hii isiyo na "depth" unaamini kabisa kabisa hauna chembe ya udini .....! ilhali matokeo ya utafiti wako yanajidhihirisha wazi wazi kuwa ni yakufikirika na wewe mwenyewe ndiyo mchochezi...!

Km wewe ndiyo msomi tegemezi wa kukilinda CCM basi...kazi tunayo!!!$???&&!!

Sisi km watanzania tunayo safari ndefu saaaana ya kuufikia ummoja wa kitaifa....HAMY-D anaamini aliowataja siyo Watanzani na hawana sifa ya kuongoza au kuwa na chama.

HAMY-D mara kadhaa amekiita CDM chama cha magaidi ... na hapa ametudhihirishia kuwa anamaana gani....kawatenga watu wa imani moja aka waita ndio wenye CHADEMA ... ukihuisha na imani ya HAMY-D kuwa CDM ni magaidi ni dhahiri unapata picha anawaita watu wa imani fulani ndio hao magaidi ... HAMY-D acha kutugawa hebu tuijadili siasa tuachane na Ubaguzi wa kiimani hauna tija.

Ndugu yangu FUGIKENI huyu HAMY-D tumepata habari zake ni kwamba sasa hivi anakaribia kumaliza msingi wa nyumba yake baada ya kupta zawadi ya kiwanja kutoka kwa ndugu zake. Hivyo sasa hivi book 7 ni muhimu sana kwani kumalizia msingi wa nyumba yake ina maana mwanzo wa ujenzi ndio umeanza. Lengo lake kupata hizo book 7 toka lumumba kwa wingi iwezakanavyo ili lengo lake litimie. Kwa hiyo usishangae kuona anachokiandika hapa
 
Hivi Kuna wakati waliberali hamfahamiani eeeh. Kwa ukilaza Wako emeelewa kinyume, hebu fikiria kwenye huo mkutano Chadema hawakuwepo but stori zote za Mwigulu zikawa kuhusu Chadema still wewe kilaza unasema anainyima usingizi. Jakombe ukomborewe kijana.

A guess will never substitute the truth. I am a conservative through and through. I don't know anyone within my immediate family members who is either a liberal or a socialist. We are all conservatives. The difference between our conservatism and yours is; ours is compassionate inclusive conservatism. Yours is sectarian, tribal, and not so intelligible conservatism. Thats why we do not vote chadema.

About you calling me kilaza, I don't know what that means, if its good then I am that. If it only makes you feel good, then keep calling me that. Your ostentatious bravado characterised by name calling, only displays your inferiority in knowledge, mannerism and character.
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

Mwigulu endelea hvo hvo kuwapa watu chakula ya ubongo weng wanapumbazwa na maneno ya kusadikika tu ya hao CDM,,hawatupata hata kama tunashida na maisha bora,,,CCM songaaa.
 
:kev:Mwigulu lameck nchemba namjua vilivvyo nimechunga nae ng'ombe amewahi ugua ugonjwa wa pepo punda, kwa mda mrefu sana mpakaalitaka kuwa taahira.Kwa hiyo ndugu wapenda amani kauli yake isiwashangaze sana akili yake niya kipunda punda tu:help:.
 
umechambuaaaaaaa hili ndio ufafanuzi wa utafiti wako?.... Halafu kwa mantiki hii isiyo na "depth" unaamini kabisa kabisa hauna chembe ya udini .....! Ilhali matokeo ya utafiti wako yanajidhihirisha wazi wazi kuwa ni yakufikirika na wewe mwenyewe ndiyo mchochezi...!

Km wewe ndiyo msomi tegemezi wa kukilinda ccm basi...kazi tunayo!!!$???&&!!

Sisi km watanzania tunayo safari ndefu saaaana ya kuufikia ummoja wa kitaifa....hamy-d anaamini aliowataja siyo watanzani na hawana sifa ya kuongoza au kuwa na chama.

Hamy-d mara kadhaa amekiita cdm chama cha magaidi ... Na hapa ametudhihirishia kuwa anamaana gani....kawatenga watu wa imani moja aka waita ndio wenye chadema ... Ukihuisha na imani ya hamy-d kuwa cdm ni magaidi ni dhahiri unapata picha anawaita watu wa imani fulani ndio hao magaidi ... Hamy-d acha kutugawa hebu tuijadili siasa tuachane na ubaguzi wa kiimani hauna tija.
acha kujaza mavi humu

  • 🙂

    🙂
 
kwanza Mwigulu anawaita wana iramba dar es salaam km wana iramba wana akili asinhejitokeza hata mmoja kwani iramba iko Urafiki?? Mwigulu ni mbunge wa iramba mwenye makazi yake Dar ndio maana anatoa kauli za ajabu akiamini watu wanayaona ayafanyayo na kaamua kuwaita wana iramba kaangalia upepo kaona anachungulia tundu la choo.
Hana maana angeenda kuhutubia hayo maneno jimboni kwake sio hapa mjini kwanza walioenda katika mkutano ndo wale wale wanaonunuliwa kwa kofia na t- shirt za CCM hawana akil km yeye. Badala ya kuzungumza maendeleo ya iramba anawatisha wana iramba.
Ipo siku Mungu atatenga magugu na mpunga na hiyo siku si mbali.
 
kwanza Mwigulu anawaita wana iramba dar es salaam km wana iramba wana akili asingejitokeza hata mmoja kwani iramba iko Urafiki?? Mwigulu ni mbunge wa iramba mwenye makazi yake Dar ndio maana anatoa kauli za ajabu akiamini watu wanayaona ayafanyayo na kaamua kuwaita wana iramba kaangalia upepo kaona anachungulia tundu la choo.
Hana maana angeenda kuhutubia hayo maneno jimboni kwake sio hapa mjini kwanza walioenda katika mkutano ndo wale wale wanaonunuliwa kwa kofia na t- shirt za CCM hawana akil km yeye. Badala ya kuzungumza maendeleo ya iramba anawatisha wana iramba.
Ipo siku Mungu atatenga magugu na mpunga na hiyo siku si mbali.
 
Anapo watisha wananchi ndo kwanza anawafumbua macho
 
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
Anamaanisha baya kama lile la soweto kule Arusha? Maana aliwaonya wasiende kwenye mikutano ya Chadema na walipokaidi akawatuma polisi wakawalipue kwa bomu. Huyo ndiye gaidi namba moja.
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

Huyu jamaa siku atakayoanguka hatakuwa na pa kushika.. maana anayoyafanya ni tofauti kabisa na matakwa ya viongozi wenzake wakuu CCM. ukisoma context za kauli za kinana na nape utagundua wako tofauti na wana msimamo unaopingana sanaa na yeye.. ndio maana wamekuwa wakimya sanaa baada ya kugundua hili boya linabebwa na mwenyekiti.. Huyu jamaa anakufa na hata viongozi wenzake wanalijua hilo ndio maana wanakaa pembeni ili asije akzama na mtuu. Ni suala la muda tuu mwisho wa mwigulu ni mbayaa..
 
Mwigulu ni mjinga wa kwanza nchi hii. Aliyeku2ma mwambie amekuvuruga mpaka umechizi na akili hazimo.
 
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
Arusha aliwaambia hivi hivi ,watu wakalipuliwa na bomu ..huko sijui anataka kuwafanya nini ndugu zake huyu Pimbi..
 
CHADEMA ikichukua Nchi natamani nipate nafasi katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ninawaahidi wanaCHADEMA kwamba sitawaangusha,Kati ya watu nitakaodili nao wa kwanza kabisa lazima awe Mwigulu atakwenda Segerea bila kupitia Mahakamani wakati huo uko Segerea nitakuwa nimemtayarishia mtu maalum (Mnyapara) wa kumshughurikia ili hatimaye auone ukweli kuwa kumbe Duniani kuna Madume na vijidume.Akishawekwa sawa kule baadaye namtoa.Akili yake itakaa sawa baada ya hapo.

hapana ukimfunga gereza la segerea hutakuwa umetenda vyema, tafadhali nasikia kule SINGIDA kuna gereza la manyoni bila shaka litamfaa sana huyu chinjachinja.
nasikia ni moja ya magereza yenye shuruba za kupasua mawe na kazi ngumu. hapa segerea wanawake zake wanaweza kumpelekea hata PIZZA.
 
Mwigulu nadhani anatakiwa kuombewa afya njema, hadi mwaka 2015 Chama chake kitakuwa hoi kwa siasa zake.
 
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
Bahati mbaya kiji kimemkolea hajui hata majukumu ya serikali ni nini? Hana Leadership Traits... poor CCM ....
 
kawaida yake, siasa za vitisho karne hii ya Techno-hammer!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom