Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwingulu ni juha wa taifa. Sundumeru mwingulu.
 
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.

Hivi Kuna wakati waliberali hamfahamiani eeeh. Kwa ukilaza Wako emeelewa kinyume, hebu fikiria kwenye huo mkutano Chadema hawakuwepo but stori zote za Mwigulu zikawa kuhusu Chadema still wewe kilaza unasema anainyima usingizi. Jakombe ukomborewe kijana.
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba

vitisho vimeanza leo?

anyway, vitisho ni namna mpya ya kutekeleza ahadi za CCM?

Mwigulu usiache kutisha watu bana, maana vitisho navyo vinajenga ukakamavu. Si umeona watu hawaachi kwenda mikutanoni hata baada ya kutupiwa mabomu wakiwa kwenye mkutano? Sasa vitisho vya maneno vinazidi mlipuko wa bomu. Endelea kutishia watu Mwigulu, usiache
 
CHADEMA ikichukua Nchi natamani nipate nafasi katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ninawaahidi wanaCHADEMA kwamba sitawaangusha,Kati ya watu nitakaodili nao wa kwanza kabisa lazima awe Mwigulu atakwenda Segerea bila kupitia Mahakamani wakati huo uko Segerea nitakuwa nimemtayarishia mtu maalum (Mnyapara) wa kumshughurikia ili hatimaye auone ukweli kuwa kumbe Duniani kuna Madume na vijidume.Akishawekwa sawa kule baadaye namtoa.Akili yake itakaa sawa baada ya hapo.

Hakuna haja mkuu. Utapoteza muda wako bure kumshughulikia Nchemba! Nakushauri uwasake wauza sembe popote walipo manake walipotufikisha tumechoka!!
 
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha



Umesahau alimaanisha mabomu, risasi na kuwamwagia tindikali mkuu
 
Si mlileta usi kuwa watu hawakuudhuri? Alihutubia viti?
tupia picha,hapo uko ki-analojia zaidi maana naona wau watatu tu ambao wako high table na ndio waalikaji. Ukumbini mbona hakuna picha inayoonyesha waliohudhuria.
 
mwigulu analeta ubabe kwenye mapenzi binafsi..
basi hata mkwe alimuoa kwa kumlazimisha..
 
Slaa akisikia jina la mwigulu tumbo joto anatamani aruke vile.
 
Ukiwa ccm bac unakuwa chizi, hatamwigulu pia akili zake sio nzuri, wanao mshabikia pia nao ni machizi.tufike mahara humu jf tuache kabisa kujadili uzi wowote wa mliberali huyu mgoni, muuaji, mtekaji na mtu mwenye roho ya paka. Iramba hamna mbunge. 2015 kitila atachukua jimbo kirahisi sana. Asubuhi njema jf
 
Ulikuwa mshenga kwenye harusi yake au matron mbona unaleta maswala binafsi.

mkuu nasomaga post zako nyingi na nikagundua wewe ni --------,na mimi hua sibishanagi na wapumbavu..
 
Mzushi, gaidi, mpandikizaji wa ushahidi fake kama alivyotoa vitisho Arusha sasa anatoa vitisho vingine Iramba!!!!! Na polisi magamba bado haitaki kumgusa gaidi huyu!!!!

yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serikali msaada wa aina yeyote.
 
Nasari alipochaguliwa alisema anawapenda wananchi woooote, tena swala la maendeleo anaanza kwa wale waliomnyima kura. Linganisheni na haya matendo ya Huyu Kipofu wa Kisiasa aliepewa nafasi ya kuiharibu nchi. It pains bwana.
 
Kweli jamaa anpaswa kukamatwa na polisi kwa kauli hii. Ni vitisho vibaya mno!
 
Hakuna haja ya kusikiliza ndondocha la ccm hilo!Juzi shule ya kisana imefungwa hakuna madarasa,watoto wanasoma chini ya miti tangu tupate uhuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom