Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Nilifikiri mwigulu angekaa chini atafakari jinsi ya kurudishe imani yake kwa wananchi wa iramba, yeye aanza kuwatisha huyu jamaa si dhani km ni mzima wa akili. Sasa nimeamini hata km umesoma kiasi gani ukienda CCM utakuwa -------, Sugu hakukosea. Mwigulu unaitaji ushauri nasaha zaidi ya mtu wa ukimwi. thr is anybdy with sniper gun?
 
Muda wa Mwigulu kuwa mbunge anakaribia kuisha anatapatapa hata wananchi wake wanajuta kumchagua muuaji
 
Savimbi hiyo! Yaani ukiwasikiliza Mwigulu na Nape ndipo utaamini kuwa mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi katika CCM mradi tu awe na mdomo usiongozwa na kudhibitiwa na ubongo!
 
Kwa sababu ni gaidi, mzushi, mtu mwenye roho mbaya sana ya kuweza kuharibu hata maisha ya familia ili apate sifa za kipumbavu toka kwa mafisadi wa MAFISIEM. Kumbuka issue ya Lwakatare jinsi huyu gaidi alivyotaka kumuharibia maisha yake na familia yake kwa kulipa watu pesa nyingi watengeneze ushahidi bandia "utakaokubalika hadi mbinguni" ili wampandishe kizimbani na si ajabu viongozi wengine wa CHADEMA kwa ushahidi wa kubambikiwa na kuwafunga kwa kifungo kirefu.

Savimbi hiyo! Yaani ukiwasikiliza Mwigulu na Nape ndipo utaamini kuwa mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi katika CCM mradi tu awe na mdomo usiongozwa na kudhibitiwa na ubongo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom