Huyu mtu anayeitwa Mwigulu atakuwa anaugua pepopunda. Yeye kule Arusha alikuwa anakwenda kufanya nini? Huyu jamaa anajitia mbabe wakati hana lolote, mavi ya fisi tu! Kama yeye mbabe sana atangaze kumi na Matumla, manake hata kina Matumla na ubabe wao kwenye ndondi hawajafikia huku.
Kama hauwezi kujenga hoja, kaa pembeni, hizi ni siasa, na katika siasa hizi tunataka kupata watu bora wanaoweza kutransform our societies kuwa better. Huu siyo wakati wakutisha watu wazima kama watoto wako nyumbani, ------- wewe!!!
Wewe Mwigulu kama unajifanya mjanja na usalama wako wataifa, kaa ukijua kwamba ukijifanya kuatarisha maisha ya watu na wewe utashughulikiwa tu, hautabaki, tutakusaka hatakama utakuwa umeshakufa! Hauna adabu kabisa!!
Mwigulu amezidiwa sana
mwisho sasa ameanza kupaniki! Na kadri anavyopiga kelele ndo nguvu ya
chadema inavyoongezeka na kibaya zaidi wenzake kama akina Nape wamemtupa
kabisa, so the man is frustruated!
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
![]()
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
CHADEMA ikichukua Nchi natamani nipate nafasi katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ninawaahidi wanaCHADEMA kwamba sitawaangusha,Kati ya watu nitakaodili nao wa kwanza kabisa lazima awe Mwigulu atakwenda Segerea bila kupitia Mahakamani wakati huo uko Segerea nitakuwa nimemtayarishia mtu maalum (Mnyapara) wa kumshughurikia ili hatimaye auone ukweli kuwa kumbe Duniani kuna Madume na vijidume.Akishawekwa sawa kule baadaye namtoa.Akili yake itakaa sawa baada ya hapo.
mwigulu kapewa madaraka makubwa na walio mpa hawakujua uwezo wake wa kutafakari, mwigulu ni mchanga sana kifikra na ndo mana hadi leo bado anawaza siasa za mabavu kasahau kwamba ulimwengu ulisha hama huko siku nyingi ,kifupi mwigulu ana siasa za kitoto sana, kimsingi ndani ya ccm namchukia sana huyu kijana.anakiharibu sana chama ,anasahahu kuwa kauli zake ndizo zinazo tumiwa na upinzani kuiangamiza CCM na walipo ndani ya chama hawalioni hilo.Kati yaa mambo ambayo Mwigulu anakosea ni kulazimisha watu waipende ccm na kuichukia cdm,kwa nn ni lazima kuwa mwana ccm? kwann unalazimisha kubaki ccm hata kama watu hawakipendi?
hahaha hahahaWe ndio elton john kabisa yani na mwigulu ndio furnish,anakukei wai jelly daily
anayoyasema Mwigulu hayana tofauti na yanayosemwa na Sheik Ponda,sasa kwa nini Ponda anasakwa wakati Mwigulu anaachiwa?Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
![]()
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
siasa za Mwigulu ni za enzi ya simba na yanga ilipokuwa vigumu kumkuta mke yanga mme simba.tunachofanya chadema ni siasa za kileo zinazoruhusu mke kuwa yanga na mme kuwa simba tunawashukuru sana viongozi wa chadema kwa kuliwezesha hiloTukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !