Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
4 bila
Naomma nwaulize CCM swali hili: hivi kweli hakuna kiongozi au mtu ndani ya chama hiki kikongwe hapa nchini ambaye anaweza kusimama na kumkemea huyu nchemba Mwigulu asiendelee na huu upuuzi wake jamani? Viongozi na wanachama wa CCM mnamkumbatia mwigulu kwa matendo yake haya hambayo yanahatarisha amani ya nchi na nyie mnaendelea kumchekea tu? Nawambien kuwa ipo siku mtakuja kujutia huu ukimya wenu. waswahli wanasema ''ukcheka na nyani utavuna mabua'' Vyombo vya usalama mko wapi?mmeamua kumuacha huyu jama aendelee kuchochea uvunjifu wa amani ya nchi yetu.amin nawamieni mnafanya kosa ambalo litalighalimu taifa.vyombo vya usalama ni wajibu wenu kuhakikisha usalama wa raia unalindwa kwa gharama yoyote ile.haiwezekan mtu anwatisha watu hadharani,tena mbele ya viongozi kama mkuu wa wilaya ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo halafu vyombo vya usalama hamchukui hatua stahiki!sisi tusio navyama vya kisiasa tunaona kuwa mwgulu nchemba anaenda mbali zaidi ya siasa.tunaomba hatua stahiki zichukuliwe kwa yeyote anayehatarisha na kuleta hofu ndani ya nchi eti kwasababu yeye ni kiongozi mkuu katiaka chama.Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
![]()
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
![]()
Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
kawaida yake, siasa za vitisho karne hii ya Techno-hammer!!!
Chadema ikishutumiwa ghafla utona kwny uzi.....majibu ya Dr.Slaa.ila madongo kwa Chama cha Madawa ya kulevya huwa hayajibiwi.huwezi kukuta.,.. majibu ya Dr.Kikwete
mwigulu kapewa madaraka makubwa na walio mpa hawakujua uwezo wake wa kutafakari, mwigulu ni mchanga sana kifikra na ndo mana hadi leo bado anawaza siasa za mabavu kasahau kwamba ulimwengu ulisha hama huko siku nyingi ,kifupi mwigulu ana siasa za kitoto sana, kimsingi ndani ya ccm namchukia sana huyu kijana.anakiharibu sana chama ,anasahahu kuwa kauli zake ndizo zinazo tumiwa na upinzani kuiangamiza CCM na walipo ndani ya chama hawalioni hilo.