Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi kuwa mbunge wa Iramba Magharibi 2005-2010
1006039_520227701364392_1927460830_n.jpg

Kushoto ni Mh.Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda,Mwigulu na ,Kulia ni Ndugu Kilimba
 
Mbona vitisho lakini? Halafu huyu si amekataliwa kuingilia kazi za polisi? Eti baya likiwakuta wasiombe msaada serikalini...ni baya lipi alikuwa ana maanisha
 
Kati yaa mambo ambayo Mwigulu anakosea ni kulazimisha watu waipende CCM na kuichukia CHADEMA,kwa nn ni lazima kuwa mwana ccm? kwann unalazimisha kubaki CCM hata kama watu hawakipendi?
 
Huyu mtu anayeitwa Mwigulu atakuwa anaugua pepopunda. Yeye kule Arusha alikuwa anakwenda kufanya nini? Huyu jamaa anajitia mbabe wakati hana lolote, mavi ya fisi tu! Kama yeye mbabe sana atangaze kumi na Matumla, manake hata kina Matumla na ubabe wao kwenye ndondi hawajafikia huku.

Kama hauwezi kujenga hoja, kaa pembeni, hizi ni siasa, na katika siasa hizi tunataka kupata watu bora wanaoweza kutransform our societies kuwa better. Huu siyo wakati wakutisha watu wazima kama watoto wako nyumbani, ------- wewe!!!

Wewe Mwigulu kama unajifanya mjanja na usalama wako wataifa, kaa ukijua kwamba ukijifanya kuatarisha maisha ya watu na wewe utashughulikiwa tu, hautabaki, tutakusaka hatakama utakuwa umeshakufa! Hauna adabu kabisa!!
 
Hii kauli haina tofauti na ile kauli aliyoitoa huyo Mwingulu Arusha..."msiende kwenye mikutano ya Chadema mtakufa"... na kweli watanzania wenzetu huko Arusha wakapoteza maisha kwa mlipuko wa bomu(Mungu awarehem).

Kibaya zaidi kauli hii mbaya,yakibaguzi na yakichochezi inatolewa leo tena na huyo Mwingulu mbele ya mkuu wa wilaya Yahya Nawanda ambaye pia ni mwenyekiti wa katimati ya ulinzi na usalama wa wilaya,alfu kidudu mtu mjengwa anakuja hapa JF bila aibu na stori za pwagu na pwaguzi eti "kujilinda kutaturudisha kwenye ujima".

WanaCHADEMA Iramba na watanzania wenzangu wa Iramba kuweni macho na chukueni taadhali zote kwa kuimarisheni ulinzi kwani kauli hiyo ya Mwingulu inahashiria kutokea tena kwa mlipuko mwingine wa bomu kama ulilotokea Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana huyu Mwigulu amekuwa nani? au ana nini? mbona hata viongozi wenyewe wanamwogopa? Kweli haya maneno ya kutisha Watu, tena nyumbani mbele ya viongozi na Wanamchekea! na anatamba kwamba ni kiongozi mkubwa eti tutegemeee makubwa au mabaya ! amekuwa Mungu? Huu ni ulevi gani jamani! hata haya hana? Muulize eti ana nguvu kuliko CRDB? lakini ajiulize CRDB kilimtokea nini tena mbele ya mwanamama tu iwe yeye! Umetuulia kijana wetu Ndago hatujasahau, leo unatutonyesha kwa Vitisho wewe ni nani? Kweli "mchelea mwana kulia hulia yeye" sasa huyu Mwigulu ni lazima tumwonyeshe kwamba sisi ni wanaume na tunakojoa tukiwa tumesimama! umenyoa ndevu bado utatupa scaff. Na Mungu yupo nasi Iramba na ndiye Mweza Si Mwiguluuuuuu Amin
 
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
 
CHADEMA ni chama cha watu hawa tu; Mbowe, Dr Slaa, Mnyika na Lema.

Umechambuaaaaaaa hili ndio ufafanuzi wa utafiti wako?.... Halafu kwa mantiki hii isiyo na "depth" unaamini kabisa kabisa hauna chembe ya udini .....! ilhali matokeo ya utafiti wako yanajidhihirisha wazi wazi kuwa ni yakufikirika na wewe mwenyewe ndiyo mchochezi...!

Km wewe ndiyo msomi tegemezi wa kukilinda CCM basi...kazi tunayo!!!$???&&!!

Sisi km watanzania tunayo safari ndefu saaaana ya kuufikia ummoja wa kitaifa....HAMY-D anaamini aliowataja siyo Watanzani na hawana sifa ya kuongoza au kuwa na chama.

HAMY-D mara kadhaa amekiita CDM chama cha magaidi ... na hapa ametudhihirishia kuwa anamaana gani....kawatenga watu wa imani moja aka waita ndio wenye CHADEMA ... ukihuisha na imani ya HAMY-D kuwa CDM ni magaidi ni dhahiri unapata picha anawaita watu wa imani fulani ndio hao magaidi ... HAMY-D acha kutugawa hebu tuijadili siasa tuachane na Ubaguzi wa kiimani hauna tija.
 
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
Wewe endelea kuota tuu...mziki wa chadema mwigulu atauweza wapi? Haya kachukuwe buku 7 kwa basha wako mwigulu.
 
Aisee mwigulu analisura libaya kama kinyago cha wamakonde.
 
Alikuwa Igunga nguvu ikapungua, akaenda Arumeru nguvu ikadhoofika akaenda Arusha nguvu ikaisha mazima sasa amerudi home ground kuwatisha watu wa jimbo lake tutegemee nini???
Muda si mrefu ataenda kuwatisha wazazi wake kwanini wamemzaa!!!!
 
Si mlileta usi kuwa watu hawakuudhuri? Alihutubia viti?
 
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.

I think it is the other way round. Mwigulu ndiye anayeota jinamizi la Chadema. Sikiliza kauli zake.
 
We ndio elton john kabisa yani na mwigulu ndio furnish,anakukei wai jelly daily
 
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !

Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi ku

HIVI MWIGULU ANADHANI ANAONGEA NA WATOTO ET?
 
Vipi tena tunatishwa??? Kwa hio mtu akifikwa na mauti tunamjua muuaji. Maana kauli kama hii,duh!

Mwigulu mbona hata busara ya kawaida tu inakushinda?? Hivi ndivyo unavyowahamasisha wanairamba kukuunga mkono?? Mbona majanga??kama ni kuwa kiongozi mkubwa wa chama, mbona hadi leo iramba hakuna maji,umeme,barabara,hospitali nk??

Kunani hadi ututishe?? Si uje ufanye maendeleo tu na tutaona?? Kwa vitisho hivi siwei kukuunga mkono.
 
CHADEMA ikichukua Nchi natamani nipate nafasi katika Wizara ya Mambo ya Ndani na ninawaahidi wanaCHADEMA kwamba sitawaangusha,Kati ya watu nitakaodili nao wa kwanza kabisa lazima awe Mwigulu atakwenda Segerea bila kupitia Mahakamani wakati huo uko Segerea nitakuwa nimemtayarishia mtu maalum (Mnyapara) wa kumshughurikia ili hatimaye auone ukweli kuwa kumbe Duniani kuna Madume na vijidume.Akishawekwa sawa kule baadaye namtoa.Akili yake itakaa sawa baada ya hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom