Huyo ndiye MadeluMwaka 2015 wakati wa Kampeni nilipita kule Rukwa kwenye maporomoko ya Mlima Liamba Liamfipa nikakuta majabali tena yaliyo sehemu hatarishi yameandikwa Mwigulu Rais nilishangaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni masharti aliyopewa mficha taarifa za coronaWana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?
Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220
In God we Trust
Unaambiwa alitumia Tsh 150 milioni kujiandika kwenye maweWana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?
Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220
In God we Trust
HelaNi Tanzania mzima, sasa najiuliza aliwezaje kuyaandika?
In God we Trust
Hata Mzee Lowassa alitumia umafia kuwa Mgombea Urais kupitia Chadema na hakuupata kwasababu Urais unatoka kwa Mungu. Bishia hili.Wacha kudanganya watu
In God we Trust
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rais wa Mawe huyo.
Barabara za kwenda mikoani wameandika kwenye mitaro. Jamaa alichafua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutegemea ulijibu hili maana hukulitarajia. Ahahahahahah!Kamuulize yule kikongwe wenu
In God we Trust
Hiyu ukitaka ayafute ni kumuagiza kwamba sasa hivi kila mwezi atakuwa analipia kwa mwezi kwenye kila jiwe lililochorwa jina lake.Anachafua mawe na miamba yetu makusudi wakati ndiyo kivutio cha watalii
In God we Trust
Ni Tanzania mzima, sasa najiuliza aliwezaje kuyaandika?
In God we Trust
6,000,000😒😒😒😒