Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

Mwigulu alitumia robot kuandika nchi nzima?

Kwa sasa ukimwambia ayafute na mtu hana kipato cha ziada unadhani ataweza kweli? Kupigwa chini uwaziri na singida united nayo hoiii
Polution na kuharibu mazingira apigwe faini na ayafute.., Kila Tom, Dick and Harry wakichora na ku-deface public places patakuwa hapatoshi. In short huu ni ushamba...

In God we Trust
 
Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.

Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?

Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220

In God we Trust
Hizo picha mbili zinakupa uhalali gani wa kusema kaandika nchi nzima!!!??
 
Akamatwe alipie Kodi ya mabango kwenye Halmashauri zote zenye mawe yaliyoandikwa upuuzi wake.
 
Anachafua mawe na miamba yetu makusudi wakati ndiyo kivutio cha watalii
Akamatwe alipie Kodi ya mabango kwenye Halmashauri zote zenye mawe yaliyoandikwa upuuzi wake.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom