Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,384
- 1,438
Hicho kichwa sio cha kawkaida.
Mbona simple sana......!!!Jamaa nouma Sana , nchi nzima kapiga chata, Mwanza ndio usiseme
Ilikuwa nchi nzima. Mpaka kwenye miundombinu kama vile madaraja. Nadhani mbinu hiyo ilimdisqualify zaidi kwani ustaarabu ulionekana 'efu'.Iyo ni Singida tu alitumia walevi na wavuta bangi na ugoro ndio walikua wapiga kura wake
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
huyu mwigulu madelu nahisi kuna kitu kati yake na jiwe maana jiwe hataki kumsamehe kabisa
Mkuu usilaumu sana maana njaa haina adabuMiongoni mwa hasara kubwa ya Nchi ni vijana kutumika kwa mambo yakiPUUZI usishangae huyo kijana huenda alipewa Noah na laki Mbili kajaziwa mafuta kazunguka tz nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipokuwa mdogo nimeona sana hayo maandishi baada ya kumjua huyo mtu aliyekuwa ananadiwa kwenye mawe nimempuuza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kote. Mwanzoni nilifikiri ni utani au watu wanamsingizia, lakini nimejionea mwenyewe mpaka Mtwara. Sio mawe tu hata yale madaraja makubwa nayo hayajapona.
Kuna kichaa mmoja yupo pale Mafinga alimtumiaWana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?
Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220
In God we Trust
Iringa kitonga napo balaa,lbd kama nyani wamefuta.Wewe hujatembea nenda Mwanza, Mara, Bukoba, Dodoma, Arusha, Manyara n.k kote nimeyaona
mkuu umenipa burudani! vipi ulikuwa na private car unazunguka nchi nzima kukagua mawe ya mshkaji? hukuwa na kazi ya kufanya au sijakuelewa? au ulipata funding ya Tanroad?Wewe hujatembea nenda Mwanza, Mara, Bukoba, Dodoma, Arusha, Manyara n.k kote nimeyaona
Swali la kipumbavu.mkuu umenipa burudani! vipi ulikuwa na private car unazunguka nchi nzima kukagua mawe ya mshkaji? hukuwa na kazi ya kufanya au sijakuelewa? au ulipata funding ya Tanroad?
Masikini MadeluWaganga wa kienyeji wakiamua kukuchoma bna,ukute ndo walimpa masharti na uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahahView attachment 1420646
Ndo maana Magu hataki kumsamehe mwigulu,mzee anakosa jiwe la kulalia kila mahali pameandikwa Mwigulu