more88
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 447
- 413
Yapo maeneo ya tegeta kwa mbele kama unaenda bokoNi nchi nzima labda dar kwasababu hamna mawe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo maeneo ya tegeta kwa mbele kama unaenda bokoNi nchi nzima labda dar kwasababu hamna mawe.
Hshahahahah daahMpuuzi sana huyo mchumia tumbo! Kazi hiyo ilifanywa na Mtela Mwampamba wakisaidiana na Juliana Shonza!
Na kakikundi kengine kakijinga chini ya Festo Sanga eti Mwigulu akipanda jukwani wanainua mabango eti Sokoine wa pili!
mkuu umenipa burudani! vipi ulikuwa na private car unazunguka nchi nzima kukagua mawe ya mshkaji? hukuwa na kazi ya kufanya au sijakuelewa? au ulipata funding ya Tanroad?
Mi tangu aongoze movie haeamu ya ugaidi na akaapa kuwa na ushahidi hata mbinguni ili tu apate madaraka ndipo nilipoiona hatari ya mwigulu kua huyu ni mchawi mshirikina na Hana akili kabisa ni wa kupuuzwa.......Alijua mawe yanapiga kura,nilikuwa namkubali sana ila kwa lengo lake la kutokuwa transparent katika Covid,simkubali tena.
HADI TANGA KULE MPAKANI KABISA KAMA UNAELEKEA KENYA AMEPIGA CHATAWewe hujatembea nenda Mwanza, Mara, Bukoba, Dodoma, Arusha, Manyara n.k kote nimeyaona
Jamaa mwe.hu sanaHADI TANGA KULE MPAKANI KABISA KAMA UNAELEKEA KENYA AMEPIGA CHATA
Ananikumbusha enzi hizo diwani baba Revo kabla hajatoka aliwahi kuandika karibia nyumba zote za kigoma mjini jina lake kwa chaki na mkaa kwa mwandiko unaofanana..
Alikua anajiita jina flani nimelisahau lina herufi tatu linaanza na D
Labda ndio maana jiwe likamsagasagaYaani kote. Mwanzoni nilifikiri ni utani au watu wanamsingizia, lakini nimejionea mwenyewe mpaka Mtwara. Sio mawe tu hata yale madaraja makubwa nayo hayajapona.
Labda mapolisi Wake waleHakika na ilifanyika kimafia sana maana tulikuwa tunastukia yashaandikwa
In God we Trust