cavani
Member
- Jan 2, 2018
- 49
- 39
Zunguka tabora singida dodoma utaonaHizo picha mbili zinakupa uhalali gani wa kusema kaandika nchi nzima!!!??
Kuna vijana alikuwa akiwatumia aliwapa Land cruiser na posho ya laki moja kwa sikuKwa kweli ukiangalia kwa umakini hii ni mbinu tata hapa Kuna rupia kubwa ilitumika kunadi jina lake kupitia hayo mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwani bado hawajafuta hayo mawe?Kwa kweli ukiangalia kwa umakini hii ni mbinu tata hapa Kuna rupia kubwa ilitumika kunadi jina lake kupitia hayo mawe
Sent using Jamii Forums mobile app
sio vijana sema UVCCMKuna vijana alikuwa akiwatumia aliwapa Land cruiser na posho ya laki moja kwa siku
acha kuikashfu bangi.Bangi ni mmea wa Mwenyezi MunguIyo ni Singida tu alitumia walevi na wavuta bangi na ugoro ndio walikua wapiga kura wake
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Hata mimi nimegundua ana shida ya kufikiri vizuriAlijua mawe yanapiga kura,nilikuwa namkubali sana ila kwa lengo lake la kutokuwa transparent katika Covid,simkubali tena.
Alidhani wanao ingia kwenye kamati ya uteuzi ni mawe.Wana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?
Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220
In God we Trust
Huyu Mwigulu ni Mungu ametuepusha tu. Kwa baadhi ya matukio niliyowahi kuyaona akiwa na madaraka kama Naibu Katibu Mkuu BARA CCM na Waziri wa Mambo ya Ndani, naamini Mwigulu angepata U-Rais angekuwa mbaya kuliko Jiwe na BASHITE. Haya mauaji aliyaanza yeye, kumbukeni bomu la Kaloleni na Mbauda Arusha. Au vile vifo vya kwenye virobaWana jamvi poleni na misuko suko ya kujitafutia ridhiki huku tukiwa ktk tahadhali kubwa ya janga la corona.
Nauliza hivi ni kwa kasi ya aina gani Mwigulu aliweza kuandika na kubandika maneno ya kujipigia kampeini nchi mzima tena ktk sehemu nyingine za kutisha kama hizo hapo chini?
Au alitumia robot? Tafadhali mwenye kujua hilo atifahamishe. View attachment 1420220
In God we Trust
Wahuni wana connection Kali trust meJamaa nouma Sana , nchi nzima kapiga chata, Mwanza ndio usiseme