zaleo
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,902
- 766
Hatumii Phd kufikirihuyu mwigulu madelu nahisi kuna kitu kati yake na jiwe maana jiwe hataki kumsamehe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatumii Phd kufikirihuyu mwigulu madelu nahisi kuna kitu kati yake na jiwe maana jiwe hataki kumsamehe kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1420646
Ndo maana Magu hataki kumsamehe mwigulu,mzee anakosa jiwe la kulalia kila mahali pameandikwa Mwigulu
JAMANI...LOLIyo ni Singida tu alitumia walevi na wavuta bangi na ugoro ndio walikua wapiga kura wake
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Yatawatokea puaniMpuuzi sana huyo mchumia tumbo! Kazi hiyo ilifanywa na Mtela Mwampamba wakisaidiana na Juliana Shonza!
Na kakikundi kengine kakijinga chini ya Festo Sanga eti Mwigulu akipanda jukwani wanainua mabango eti Sokoine wa pili!
Na Yule malaika hupendelea Sana kulala juu ya mawe siku hiziJmn hilo jina hadi mawilayani huko lipo kwenye madaraja, mawe yaani sijui alifanyaje kwakweli.. Na hayajafutwaga mpk leo
vipi kwenye makato bado unampuuza?Nilipokuwa mdogo nimeona sana hayo maandishi baada ya kumjua huyo mtu aliyekuwa ananadiwa kwenye mawe nimempuuza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje?28.6.2020 Mwampamba mmojawapo aliyeandika hayo maneno ya kumtukuza Madelu katolewa nishai, sasa sijui Madelu anajisikiaje