Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,846
Huwa wanabadilisha ratiba ya kula na sio kufunga.Tuwe wakweli hawa jamaa hawafungi wamebadilisha ratiba ya kula tu,
imagine mtu anakula daku la nguvu saa10 alfajiri njaa ataisikia saa10 jioni sasa hapo kuna funga??