Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

Binafsi napongeza sana kilichofanyika leo, Uchaguz sawa ulikuwa wa dhulma sasa Unagomea nafasi ambazo hata ukizigomea majamaa yataendelea na kazi kama kawa na hakuna kitachobadilika. Upinzani wangegomea kabisaa hizi nafasi kwny hiyo battle wao ndo wangekuwa looser.
 
Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
ya leo kali
 
leo jukwaa la siasa limekuwa chungu kila sehemu kwangu.
Niko na malisa Gj tu hapa tunafikiria twende wapi.
 
Wakikaa kimya nitajua nao wanahusika na huenda wamehongwa!
Yaliyotokea ni aibu ya pili katika nchi ndani ya mwezi mmoja!
Ni aibu kusaliti wananchi
Ni aibu kusaliti viongozi wa chama
Ni aibu kusaliti vikao vaya chama
Ukimya wa Mbowe unasema kila kitu tatizo mnataka mpaka mtafuniwe, Mbowe hajaongea toka maandamano yakose watu, yule ni mfanyabiashara anajua kusoma alama za nyakati... chama bila ruzuku kitakufa, bora lawama kuliko fedheha
 
M
Binafsi napongeza sana kilichofanyika leo, Uchaguz sawa ulikuwa wa dhulma sasa Unagomea nafasi ambazo hata ukizigomea majamaa yataendelea na kazi kama kawa na hakuna kitachobadilika. Upinzani wangegomea kabisaa hizi nafasi kwny hiyo battle wao ndo wangekuwa looser.
Mbowe kakaa kimya sana aisee! Sijui ana maana gani
 
Wakikaa kimya nitajua nao wanahusika na huenda wamehongwa!
Yaliyotokea ni aibu ya pili katika nchi ndani ya mwezi mmoja!
Ni aibu kusaliti wananchi
Ni aibu kusaliti viongozi wa chama
Ni aibu kusaliti vikao vaya chama
Mkuu kwa akili yako kweli unaamini hili suala halina baraka za Mbowe na Mnyika?
 
Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Wahenga walinena Aliye kula kitovu chako hatakuachia utumbo ndicho kinachoendelea ndani ya CHADEMA
 
Upatikanaji wa viti maalum lazima ufuate utaratibu wa chama na sheria za nchi.

1. Maswali ya msingi ya kujiuliza je hao waliokwenda huku wamepatikana kupitia vikao halali vya chama au wamejipeleka wenyewe?

2. Pili je sheria ya kuwasilisha majina hayo NEC na bungeni imefuatwa au imekiukwa?

Kama hayo hayajafuatwa ni uhuni tu kama uhuni mwingine mwingi tulioushuhudia katika utawala wa awamu hii ya tano na hauwezi kuwa ni kwa maslahi ya nchi hata kidogo!
 
Mnyika na Mbowe okoeni chama. Hata kikifa kwa kukosa ruzuku, mtakuwa mmeingia kwenye historia ya mashujaa wa demokrasia Tanzania. Tafadhali fukuza Kenan na wabunge viti maalaum wote wa chadema. Hawa si wanachama wa chadema. Ni wahuni tu.
 
Vitisho vya maisha kwa mtu aliyenusurika mauaji kwa risasi 16 si ya kubeza
Kila mtu ana haki ya kunusuru uhai wake
Alivyo panda mtumbwi hakuwa na kumbukumbu za risasi 16, aliporusha helicopter "bila" kibali hakuwa na kumbukumbu za risasi 16, alipokuwa anawaamrisha dereva wake kuziba njia mpaka gari yao ije, alikuwa hana kumbukumbu ya hizo risasi?? Na wakati wa kampeni alivyokuwa anatoa kauli za vitisho alikuwa hana kumbukumbu ya hizo risasi
 
Wewe na makamanda wenzio ndo mnajichanganya, chama kilishajipambanua kama chama kisichoeleweka kinasimamia nini na kinataka nini. ili uendane nao na we inabidi usieleweke tu
 
Back
Top Bottom