Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

Chadema asili wamempindulia meza Lissu

EU iache kuingilia mambo ya Tanzania kwa kuwa ina namna yake ya kumaliza changamoto zake za ndani

Huko Znz naskia na Maalim Seif ameanza ku shave ndevu na kunyoa ma panki yale ya 2010-2015

Kidumu chama cha Mapinduzi
Hahahhaahhaaahahahhaahana namna inanibidi nicheke tu kwaviongozi Hawa badosana
 
Hiki ndo ambacho nilikua nakiwaza, nadhani tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa CHADEMA I think tumeona sura halisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Hata mimi nimeshukuru kwakweli yaani CHADEMA wameonesha uhalisia wao mapema kabisa hahaahaahahahahaha hivi huyu mbowe si ndio angekua waziri mkuu huyu huyu mmh kuanzia leo sitawashabikia tena washenzi wakubwa hawa
 
Hata.mm nimeshukuru kwakweli yn Chedema wameonesha uhalisia wao mapema kabisa hahaahaahahahahaha hv huyu mbowe siindio angekua wazili mkuu huyu huyu mmh kuanzia leosiishabikia tena washenzi wakubwa hawa
Sure, ni kumshukuru Mungu sababu pengine tulimlaumu sana Mungu kwa nini ameruhusu chedema wafanyiwe walivofanyiwa kwenye uchaguzi ulioisha, kwa nini aliruhusu ccm ichukue nchi, ila naamini Mungu aliona Chadema bado sio watu sahihi kushika nchi, and i regret kuwaunga mkono, na kuharibu my vote.
 
John Mnyika kama mtendaji mkuu wa CHADEMA ulionyesha msimamo wako,Je ulikuwa unasimamia uongo?

kwenye huu uchaguzi ambao wewe na Tundu Lissu mmesisitiza haukua huru na haki mlikuwa mnatudanganya? Mbona Halima Mdee ameshukuru na kusema chama chake kimepa fursa ya kuwakilisha wanamama! Kama uchaguzi haukuwa huru na wa haki iweje kimpe fursa!

Kama ni kweli ulikuwa unasimamia kupinga dhuluma John Mnyika fanya maamuzi ya kiume. Jiuzulu achana na CHADEMA maana wamekudhalilisha

Ulitoa tamko kuwa wewe na kama mtendaji mkuu wa CHADEMA hujapeleka majina NEC, sasa nani aliyapeleka?

Jiuzulu fasta maana jamaa wamemwaga wali wewe mwaga mboga kabisa.
 
Hawana la kusema, maana kuna watu wamekikeketa chama bila ganzi mubashara kabisa
 
Hawawezi kumsemea mwali aliye toroka, maana hapa mtaani kwetu kuuna harusi, na ndoa imefungwa sokoni wakati bwana harusi hajafika kwenye madhabahu...teh
Mbaya zaidi kuna mtu amekunya kule, akaja kuyarusha mavi kwa huku
Sasa hapa ni tafarani, watu wanakimbia hovyo na biharusi hajui wapi akajipanguse, maana yamemrukia
 
Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Tamko la nini bwashee!
 
Wewe ndio umemuona Anti ndio wakumwamini?? Si alisema ni Yeye, walisema hatakuja kaja? Haogopi, walimnyima kibali cha kuruka akalazimisha na walishindwa kumzuia bla blah kibao , ticket yake ni 18/12/2020 kwa ajili ya matibabu blah blah, lakini baada ya kushindwa na kwa kuwa alikuwa hana passport nk anaona wilaya yake ya kusafiri ni kukimbilia ubalozi wa nchi za nje na mwishowe kuishia nyumbani kwa Balozi wa Ujerumani, mengine yamebaki historia au tuseme yajayo yanafurahisha
 
Vile MATAGA yamefurahia leo!
24577890.jpg
 
Vitisho vya maisha kwa mtu aliyenusurika mauaji kwa risasi 16 si ya kubeza
Kila mtu ana haki ya kunusuru uhai wake
 
Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Acheni roho mbaya kwa hiyo manataka Mbowe akose ruzuku aishije?
 
Kakaaa kama haikufa wakati wa Lowasa na gia angani...basi hata hili litapita.Ila credibility yake/yao imeshuka kinoma.wala sijuti kuamua kuwapuuza since 2015
 
Toeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Mkuu labda kama hausikilizi redio wala hauperuzi mitandaoni ,Chadema kupitia Mnyika katamka wazi kwamba CHADEMA hawakupeleka majina yeyote TUME.
 
Hii Saccos bila mlevi wa konyagi haiendi. IGP alisema kwenye uzi walioufuta, njama zao zote zilikuwa zinajulikana Je, haya ndio maandamano yasiyo na kikomo?
 
Back
Top Bottom