Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Jamani tumezidi mno, sijasikia hata siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima, ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina, hivyo hata kama utakuja kupata December mwanzoni hakijaharibika kitu maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia ya uvumilivu.

Nakumbuka awamu ya kwanza kulikuwa na matatizo ya usafiri ilibidi wasubiri hadi wiki mbili gari la ofisa elimu lifike kuwaletea mishahara walimu shuleni. Kuna kipindi ilibidi walimu watume mmoja wao aende kuwachukulia mishahara kwa vile shule nyingi ni mbali na mjini.

Malalamiko mengine hayana msingi.
Kwanza unatakiwa kujua mshahara sio favour, ni haki ya mfanyakazi. Ni malipo ya kazi uliyomkopesha mwajiri hivyo hata kusubiria mpaka mwisho wa mwezi ni umemsaidia mwajiri. Kimsingi kupokea baada ya mwisho wa mwezi ni utamaduni lakini kihalali mwajiri alitakiwa akulipe siku yoyote kuanzia tarehe 15 ya mwezi husika. Kuna nchi kama Uingereza mshahara unalipwa kwa wiki. Hakuna kitu inaitwa mwisho wa mwezi
 
Nimepata fununu kwamba hazina wanahitaji akaunti namba ili waweze kuingiza mshahara moja kwa moja.Vumilieni kwa muda ili mje mfurahi kipindi chote cha utumishi kama wanavyofurahi watumishi walioacha kuchukua pesa dirishani na kwa foleni lakini sasa mambo yote ni ATM
 
Asanteni kwa kunijuza kwani ckujua kuwa msharaha huwa unatoka katikati ya mwezi mi nilijua mwanzo wa mwezi imean kuanzia tarehe 3 had 6
 
Kwanza unatakiwa kujua mshahara sio favour, ni haki ya mfanyakazi. Ni malipo ya kazi uliyomkopesha mwajiri hivyo hata kusubiria mpaka mwisho wa mwezi ni umemsaidia mwajiri. Kimsingi kupokea baada ya mwisho wa mwezi ni utamaduni lakini kihalali mwajiri alitakiwa akulipe siku yoyote kuanzia tarehe 15 ya mwezi husika. Kuna nchi kama Uingereza mshahara unalipwa kwa wiki. Hakuna kitu inaitwa mwisho wa mwezi

Ninachojua mshahara wanaohangaikia watu ni wa mwezi Novemba ambao kwa mapokea hulipwa mwishoni mwa mwezi, sasa watu hata mwezi haujaisha wanalalakia nini tatizo kama si mazoea ya kujenga taiba ya kulalamika kitu kbla ya muda kufika. hayo unayosema ya uingereza hawalipi mshahara kwa muda usiofanyuiwa kazi bado na ndicho wanachodai watanzania, nadhani hapa utanipata ninachojadili.
 
кค τม๓єŦมกgค รђมlє τคกgม ī♩ม๓คค, กīlīτєgє๓єค кม๐ก๔๐кค кฬєก๔ค līкīz๐ คgคlคม ก๐ⅴ 26,กī๓єкฬค๓ค,รī๓ค ђคτค รђ 10,
ђคlคŦม ๓gค๐ ฬค ม๓є๓є รครค,รīกค ђค๓ กī๓єรђīก๔ฬค กīŦคกyє♩є,ก๔คก ђคpคкคlīкī, вคlคค кīlค к๐กค yค ๓τคคค.
 
Mmmh..mkuu hii nayo nini..? hii dizain kiboko!
 
кค τม๓єŦมกgค รђมlє τคกgม ī♩ม๓คค, กīlīτєgє๓єค кม๐ก๔๐кค кฬєก๔ค līкīz๐ คgคlคม ก๐ⅴ 26,กī๓єкฬค๓ค,รī๓ค ђคτค รђ 10,
ђคlคŦม ๓gค๐ ฬค ม๓є๓є รครค,รīกค ђค๓ กī๓єรђīก๔ฬค กīŦคกyє♩є,ก๔คก ђคpคкคlīкī, вคlคค кīlค к๐กค yค ๓τคคค.

mara ya kwanza nilifikiri ni kigiriki... Kumbe kiswahili fasaha kabisa..
...
 
Ha ha ha ha watu wanamajibu ya kuuzi sana.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yaani mshahara unakuwa kama mwezi
unavyoandama kila mtu anamuuliza
mwenzake umeonekana wapi ?
 
кค τม๓єŦมกgค รђมlє τคกgม ī♩ม๓คค, กīlīτєgє๓єค кม๐ก๔๐кค кฬєก๔ค līкīz๐ คgคlคม ก๐ⅴ 26,กī๓єкฬค๓ค,รī๓ค ђคτค รђ 10,
ђคlคŦม ๓gค๐ ฬค ม๓є๓є รครค,รīกค ђค๓ กī๓єรђīก๔ฬค กīŦคกyє♩є,ก๔คก ђคpคкคlīкī, вคlคค кīlค к๐กค yค ๓τคคค.

Kwa watakao shindwa:
KA TUMEFUNGA SHULE TANGU IJUMAA,NILITEGEMEA KUONDOKA KWENDA LIKIZO ANGALAU NOV 26NIMEKWAMA,SINA HATA SH10,HALAFU MGAO WA UMEME SASA,SINA HAM NIMESHINDWA NIFANYEJE,NDANI HAPAKALIKI,BALAA KILA KONA YA MTAA.
 
Kama watu wanaulizia mshahara namna hii, hivi kweli kazi itakuwa inafanyika? Jana nilikuwa kwenye daladala jamaa mmoja akawa anamwambia mwenzake kuwa kesho ni graduation yake pale SUA lakini hajuwi atapata wapi hela na amesiki hata tt bado haijaja, mwenzake akamwangalia kwa hasira halafu akamwambia wenzako tunawaza jinsi riba inavyoongezeka tulikokopa wewe unawaza starehe, akatoa bonge la fyonzo yaani alionyesha hasira ya hali ya juu. Ewe Kikwete wahulumie watu hawa wanaumbuka, tena wengine ni walimu wamepanga nyumba za wazazi wa wanafunzi wao, madingi wanachonga mwalimu kawa kama kanyeshewa na mvua!!!
 
Nani anayedai mshahara huyo,"ukidai mshahara mapema utapigwa tu"
 
Back
Top Bottom