Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Nasikia sehemu nyingine tayari ko sehemu ambazo bado tuwe na subira.
 
uvumilivu ndio unaotuletea umaskini
kama sheria inasema mshahara uingiziwe tare 24 iwe hivo hivo na sio zaidi ya hapo
kwanini basi mfanyakazi anapokosa kazini siku 3 au zaidi anaandikiwa barua au kufukuzwa kazi?
kwanini na wao wasiwe wavumilivu?
mfanyakazi ana haki ya kupata salary yake mapema iwezekanavyo bila kucheleweshewa.
neno uvumilivu halipo kwa wenzetu ndio maana wameendelea,
aliesababisha icheleweshe anapaswa kufukuzwa kazi au kuwajibishwa.

Jamani tumezidi mno, sijasikia hata siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima, ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina, hivyo hata kama utakuja kupata December mwanzoni hakijaharibika kitu maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia ya uvumilivu.

Nakumbuka awamu ya kwanza kulikuwa na matatizo ya usafiri ilibidi wasubiri hadi wiki mbili gari la ofisa elimu lifike kuwaletea mishahara walimu shuleni. Kuna kipindi ilibidi walimu watume mmoja wao aende kuwachukulia mishahara kwa vile shule nyingi ni mbali na mjini.

Malalamiko mengine hayana msingi.
 
Kwani mwisho wa mwezi tayari? Mnataka kulipwa hata siku ambazo hamjafanya kazi?

Hilo ndilo linalonishangaza, wanataka kupata pesa mapema na wakishazimaliza kabla ya muda wa kupata nyingine kuwadia wataanza kulalamikia serikali kuchelewesha. Ningekuta malalamiko haya Desember ningeelewa, lakini mwezi haujaisha watu wanalalamika tumezoeshwa vibaya. Watanzania tu walalamishi mno.
 
Habri za hiv punde Salary hakuna, serikali inadaiwa na NMB kumbe NMB ndo walikuw wanatulipa mshahara katka mkataba wa miez 8. Sasa umeisha wamegoma kutoa tena. Sasa serikali inaongea na CRDB kuona kama itawakopesha watunusuru. Tuendlee kumuomba mungu lifanikiwe.
 
halmashauri zote hazijalipa watumishi wake..... habari nilizopata toka hazina za kuaminika ni kuwa hazina hawana fungu na limechotwa kupigia kampeni za ccm ambazo sasa wanazungukia mikoani


nasema tena twafwaaaa mi-ccm Hui balaaaa twafwaaaaaaaaa
 
Tatizo la mishahara lipo pia ktk baadhi ya taasisi za umma. Limetolewa tangazo kuwa mishahara Itachelewa.
 
Wadau hii ya kuchelewesha mshahara kwa Watumishi wa Serikali ndo utekelezaji kwa wa hiyo BRN?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
halmashauri zote hazijalipa watumishi wake..... habari nilizopata toka hazina za kuaminika ni kuwa hazina hawana fungu na limechotwa kupigia kampeni za ccm ambazo sasa wanazungukia mikoani


nasema tena twafwaaaa mi-ccm Hui balaaaa twafwaaaaaaaaa

Hao wanaolalamika wote ni walimu basi
 
Ndg. Wananchi, tatizo hili tunalifahamu na tunalishugulikia mishahra kwa taasisi/wizara zote itakuwa tayari kabla ya Disemba, mosi!
 
Hivi najiuliza akina candid scope wanaosema watanzania hatuna uvumilivu na tumezoea kulalamika wana maana gani?
Kwani mwezi mzima serikali haikujua kuwa itatakiwa kulipa mishahara ifikapo mwisho wa mwezi? au ni kitu kimetokea ghafla?
Njaa ina subira kweli? watu bajeti zimegoma hata hela ya kula tatizo unawaambia wawe na uvumilivu sababu ya uzembe wenu wa kuwalipa haki yao?
Seriously candid scope unaongea hivyo sababu hauko affected na hii situation! Wafanyakazi wana haki zote za kulalamika sababu hatuko kipindi ya vita, baa la njaa au any catastrophy inayozuia timely distribution ya salary!
The only catastrophy we have is the INCOMPETENT government of dhaifu and it has to be made responsible.
 
kunawatu mnanifurahisha kweli. kanci ketu haka Tanzania kenye miaka 51 ya uhuru unakalinganisha na marekani more than 150 ya uhuru jamani. Unataka ukilala ukiamka tu, jinsi New York ilivyo basi na Dar es salaam iwe ivyo ivyo, unataka the way MIAMI ipo basi na Mwanza au Arusha iwe hivyo! Jamani hao walisha tutangulia. kama ni mwana historia mzuritunapopita nawao walipita so wao walipo leo ndio future yetu sisi miaka 150 ya uhhuru ijayo. wakati wao feture yao wanaijua wao.

Mshahara ni haki ya mtumishi. we unaye sema tuige marekani mara masaa sijui yamefanyaje kwa siku sawaaaaa, lakini kaka hicho unachokisema kinawezekana sasa? miundombinu tuliyo nayo inaruhusu utaratibu huo? mfano mdogo tu, mpaka leo taarifa za mtumishi basicaly still zipo interms of hard copy kwa asilimia 75% na zilizo baki ni softy copy. kufanya ugumu wa kupandisha madaraja, kupata stahik kama mtumishi kwani inabidi kuzungusha faili kwenye maofisi ya maafisa utumishi, mkurugenzi wakuu wa idara na n.k

je wajua wenzio karne hii wako ki soft copy zaidi, ambapo 90% ya data zao ni katika mfumo wa computer zaidi, nikwa sababu wame expand kiteknolojia na kufikia hapo. so waache watu walipwe kwa system hii. kwa ufupi watumishi Mishahara sehemu kubwa ni kuanzia tarehe 2 mpaka 6. tuwe wavumilivu na tutumie kidogo ulicho nacho kvizuri, mazoea yana tabu jamani!

Kwa kuongezea mwambie na viwango viwe kama vya marekani!
 
Nyie mnosema mwezi haujaisha, mshapiga kimpumu, lsat month tulipewa boom letu tarehe 25, haya hesabu tarehe 25 mpaka leo 29 kama hupati tarehe 34,,,, serikali hii mawengeeeeeeeeeeee.................
 
Back
Top Bottom