Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

Nasikia waziri amekasirishwa na kauli ya Nape kwamba haperform kwhiyo na yy amegoma kusaini chq mpaka Nape atangaze kuwa hayupo ktk orodha.
 
Jamani tumezidi mno, sijasikia hata
siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima,
ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina,
hivyo hata kama utakuja kupata December mwanzoni hakijaharibika kitu
maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia
ya uvumilivu.

Nakumbuka awamu ya kwanza kulikuwa na matatizo ya usafiri ilibidi
wasubiri hadi wiki mbili gari la ofisa elimu lifike kuwaletea mishahara
walimu shuleni. Kuna kipindi ilibidi walimu watume mmoja wao aende
kuwachukulia mishahara kwa vile shule nyingi ni mbali na mjini.

Malalamiko mengine hayana msingi.
mkuu kumbe huu mjadala unahusu walimu..
 
Kwani mwisho wa mwezi tayari? Mnataka kulipwa hata siku ambazo hamjafanya kazi?
 
leo ijumaa mwenye taarifa kuwa wapi umetoka mshahara
 
Serikali inaedneshwa kwa mikopo kwa asilimia kubwa sasa ukikopa saana unachokwa....... Lazima kuna shida mahali
 
Wadau naomba mnisaidie
Kuna halmashauri gani ambayo mshahara umetoka maana huku kwetu hadi sasa bado haujatoka.
 
Kwani mbona mda bado? Kwani mwisho wa mwezi si kesho?
Usipopata leo utapata kesho. No hurry in Tanzania. Kadri unavyochelewa ndo unazidi kukusaidia wewe. Ukija haraka utaisha haraka. Wacha uchelewe ili uchelewe kumalizika
 
Kwani mbona mda bado? Kwani mwisho wa mwezi si kesho?
Usipopata leo utapata kesho. No hurry in Tanzania. Kadri unavyochelewa ndo unazidi kukusaidia wewe. Ukija haraka utaisha haraka. Wacha uchelewe ili uchelewe kumalizika

Majanga
 
mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.

we vp c umuulize headmaster yy amuulize afisa elimu(w) na yy atamuuliza ded na ded atamuuliza aliye juu yake na utapata majibu...kueni na subira wa tz¡
 
Back
Top Bottom