Pole sana! Ndo majanga hayo ya kuweka matumaini yote kwenye mshahara, siku serikali ikifilisika, utaisikilizia!
TT ndyo ni ni?TT zimeingia mishahara itaanza kulipwa Leo mchana
Mkuranga tayari salary jioni hii nmb imetema mpunga
Tangu juzi mnaulizana humu..mbona leo hamrudi kutoa mrejesho? shimo limetema? tarehe 30 ndio leo.
TT ndyo ni ni?
Polen bora yangu mie nimejiajiriii!!