Tajeni maeneo sio hata huku hata huku@mwela@ngosha@ the ultimatum inawezekana woote mko dar
Ila mimi mwana yuko Tanga anasema haujatoka na mama yuko Moro nae kasema bilabila hadi sasa.
Jamani tumezidi mno, sijasikia hata siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima, ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina, hivyo hata kama utakuja kupata December mwanzoni hakijaharibika kitu maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia ya uvumilivu.
Nakumbuka awamu ya kwanza kulikuwa na matatizo ya usafiri ilibidi wasubiri hadi wiki mbili gari la ofisa elimu lifike kuwaletea mishahara walimu shuleni. Kuna kipindi ilibidi walimu watume mmoja wao aende kuwachukulia mishahara kwa vile shule nyingi ni mbali na mjini.
Malalamiko mengine hayana msingi.
November haijaisha tunalalamika, je serikali ikiamua mshahara utoke Desember 5 si mtachukua majambia? Kuweni wavumilivu pesa zitawafikia tu.
Huyo ---- atakuwa KAVURUGWA siyo burendugu yangu umeathiriwa na UGAMBA vibaya sana. usipende kuleta siasa katika maisha ya watu. mishahara yenyewe sh 2 halafu inacheleweshwa unategemea watu tule p.u.m.b.u zako? zing'oe basi utupe tutafune. usituletee ujinga wako kwenye mambo ya msingi kama haya, ebo!
Njombe nako bado,wanasema wamepokea cheque tu bila fedha,hivyo wanangoja fedha ziwekwe.
ndugu yangu umeathiriwa na UGAMBA vibaya sana. usipende kuleta siasa katika maisha ya watu. mishahara yenyewe sh 2 halafu inacheleweshwa unategemea watu tule p.u.m.b.u zako? zing'oe basi utupe tutafune. usituletee ujinga wako kwenye mambo ya msingi kama haya, ebo!
I hate this kind of lifestyle!! Yani kusubiria mshaara tu!! I'm self made lakionea!!
wewe mshahara wako utakaokuwezesha kukaa mpaka december 5 ni sh ngapi?
Jamani tumezidi mno, sijasikia hata siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima, ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina, hivyo hata kama utakuja kupata December mwanzoni hakijaharibika kitu maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia ya uvumilivu.
Nakumbuka awamu ya kwanza kulikuwa na matatizo ya usafiri ilibidi wasubiri hadi wiki mbili gari la ofisa elimu lifike kuwaletea mishahara walimu shuleni. Kuna kipindi ilibidi walimu watume mmoja wao aende kuwachukulia mishahara kwa vile shule nyingi ni mbali na mjini.
Malalamiko mengine hayana msingi.
mshahara mpaka leo kimya vp kulikoni? maana sio kawaida. mwenye report atujuze.
unashangaa nini mbona siye tumezoea kupata tarehe 45
ndugu yangu umeathiriwa na UGAMBA vibaya sana. usipende kuleta siasa katika maisha ya watu. mishahara yenyewe sh 2 halafu inacheleweshwa unategemea watu tule p.u.m.b.u zako? zing'oe basi utupe tutafune. usituletee ujinga wako kwenye mambo ya msingi kama haya, ebo!
jamani tumezidi mno, sijasikia hata siku moja serikali imesitisha mishahara ya watumishi kwa mwezi mzima, ninachojua tarehe za malipo sio stable inategemea na ratiba ya mhazina, hivyo hata kama utakuja kupata december mwanzoni hakijaharibika kitu maana pesa ni ile ile utakayopata leo au kesho. Tujaribu kujenga tabia ya uvumilivu.