St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Mke wangu kipenzi marejesho ametulia asije kumtingisha mtoto!
Ukinishtaki utachekesha sana! Wewe unafahamu kukaguliwa kwa passion lady ni utaratibu wa lazima tuliojiwekea! Hakuna ndoa itakayotangazwa na Baba V kwa binti ambae hajakaguliwa! Kwahiyo mnajisumbua tu hapa. Na lazima akaguliwe na mimi!
Umeanza lini ukaguzi Filipo halafu msalimie mkeo marejesho mwambie nimemmisi
Last edited by a moderator: