Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Acha kupotosha mimi na Madame b tulifunga ndoa na bila kinyongo tuliitengua ndoa hile ndio maana madame b yuko na chimbuvu na hakuna ndoa ya mwanaume zaidi ya mmoja!

Hivi unashindwa kujiuliza mbona Madame B anasema Arusha one ni mume wake huku yuko na Chimbuvu?
Pengine muulize ushahidi wakutovunjika ndoa kati yangu na yeye!

Pili naomba uweke wazi wewe in this matter, hata ungekuwa ni wakili wake naona hufai maana hujui chochote kuhusu mahusiano ya mteja wako!

Kwa hili hamtatoka kabisa!

we pole pole, rutta anajua kabisa aina ya ndoa aloifunga na madame, sasa wewe usilolijua ni sawa na usiku mwa giza, kibaya huna hata kijinga cha moto kikusaidie kumulika usijikwae.
Tatizo lako hutaki kuambiwa ukweli mtupu, mwishoni usitulaumu utakapokosa vyota na kupata stress.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu hapo unazidi kuonesha udhaifu wako maana hayo mtakayo yarekebisha hayatanihusu kabisa!

Mnacho takiwa ni kuthibitisha ni sheria gani ina mpa mamlaka Filipo kumkagua kanana wangu passion lady

Pili mabadiliko yeyote kwenye sheria hayawezi kuathiri mambo amabayo yalishafanyika labda yanayo tarajia kufanyika!

Sheria haimtambui Filipo kwenye ukaguzi, mnataka kutunga ya haraka ili imtambue kwa nini nileo baada ya kusikia tangazo langu?
Kwa nini nisiseme you have interest?

hahaha, i like law, just a word can make a law not enforceable.
Ila kibaya ni kwamba rutta huwa lawyers wanavitumie vijineno visivyoeleweka ktk sheria kwa maslah yao tu, hawawezi kutumia kwa wengine.
Na kwa hyo loop chief hata mimi sina nguvu ya kukushawishi, ila ninachokifanya nw ni kufanya mpango kipengele cha kudelegate kiwepo katika chitchat inspection Act 2006 R.E 2010 nov.
Nitahakikisha hichi kinafanyika b4 the date of your marriage.
Pia nafikiria kuongeza idadi ya wakaguzi wa mkaguliwa wawe wawili (couples zenye uzoefu wa atleast 5yrs na zilizo na ushuhuda cc) mfano: Filipo & Marejesho, The bos & Secretary. Lengo ni kupunguza uchakachujaji wa ukaguzi, kwani mkaguzi awapo mmoja ni rahisi kumchakachua/kuchakachuliwa na mkaguliwa.
Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
hahahhahah MH rutta kwani mimi si ninasema kile client wangu alichoniambaia na vilelezo alivyonipa, nami ndio maana awali nilimwuliza mbona umekuwa ukitajwa na wanaume wengi na hukuwahi kukanusha kuwa ni waume wake, ndipo akaja na supporting doc amabzo zinamruhusu yeye kuolewa na zaidi ya mume mmoja, sasa mimi napotosha nini hapo? mheshimiwa sana, mi nafanyia kazi kile nilichoambiwa baada ya kupata supporting doc za kuthibitisha. na mkataba wenu wa ndoa amenipa tayari, na umesaini mh. kwani mimi nimesahau saini yako mh? hapani sijasahau!
halafu hati yako ya talaka pia nimeipata, katika hati hiyo ulisema umempa muda ajifikirie/ajirekebishe na siku akitaka kurudi milango iko wazi (talaka rejea au umesahau mh?) sasa kama unataka kufunga ndoa nyingine si vibaya, we fuatilia zile taratibu nyingine za kumpa talaka ya moja kwa moja kabisa na umpe stahiki zake. mh kila kitu iko wazi.
hizo taarifa zangu ni according to information nilizonazo toka kwa Madame B, sasa kama na wewe una zako ambazo ni kinyume na hizi ziweke kweupe tuzione, usiongee sana bila kuwa na supporting doc. mi sikatai umempa talaka, ila talaka uliyompa ilikuwa kama umempa likizo, kama sivyo weka jina la aliyeteuliwa kugawa mali!
 
Sina presha maana najua udhaifu uliopo kwenye sheria zote za hapa ndio maana najua lazima niwachezeshe kiduku!

Hebu nithibitishie kuwa babu Asprin alideligate power kwa filipo

halafu we mtu wa chini ya mlima vp, lazima kuna sababu, haiwezekani ile kesi ya kikuku ikaisha hivi hivi. Itabidi niipange upya, maana naona rutta ana presha ya kupingwa kumwoa aliyemtangazia nia
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa! Hebu niambe ni aina gani ya ndoa nimefunga na Madame B?

we pole pole, rutta anajua kabisa aina ya ndoa aloifunga na madame, sasa wewe usilolijua ni sawa na usiku mwa giza, kibaya huna hata kijinga cha moto kikusaidie kumulika usijikwae.
Tatizo lako hutaki kuambiwa ukweli mtupu, mwishoni usitulaumu utakapokosa vyota na kupata stress.
 
Last edited by a moderator:
chief ni kwamba hatutungi mpya sheria inayompa Filipo khaki ya kumkagua akanana wako bali tunarekebisha iliyopo,
ila tambua mtego wa panya huwakamata waliomo na wasiokuwemo, hapa ni kuangalia namna ya kudelegete majukumu ukizingatia babu asprini amezeeka, na kasi ya kufunga ndoa hapa cc imekuwa ni kubwa kiasi ambacho hata kama angekuwa kijana asingeweza kuhimidi.
pili sababu ya kurekebisha sheria hii ni kuona kuwa mkaguliwa na mkaguzi hawachakachuani
na tatu ni ili kuongeza ufanisi katika zoezi zima la ukaguzi kwani lengo la ukaguzi
 
chief, naona sasa unaanza kuchanganya mambo, je mi nimewahi kusema babu amedelegete majukumu yake kwa Filipo?
siwezi kuthibitisha jambo ambalo sikusema kwa kumbukumbu zangu, na ndio sababu nilisema inabidi sheria irekebishwe ili kutoa mwanya wa kudelegate majukumu ya ukaguzi
 
Naona client wako ana kudanganya maana hata umeshindwa kumuuliza hiyo ndoa ilifungwa na nani! Pili hakuna sheria inayo mruhusu mwanamke kuwa na wame zaidi ya mmoja!

Alaf unaonekana kuwa na interest kwenye hii issue ndio maana unataka sheria ifanyiwe marekebisho ili Asprin aweze kudalegate power kitu ambacho akiwezekani kwa sasa!

Si wakatazi kurekebisha sheria japo wewe kwenye kamati haupo kwa hiyo ulitakiwa ulete mapendekeze kwa kamati ya sheria ambayo naiongoza!

Pia hayo malalamiko ya mteja wako unge yapeleka kwenye kamati ya sheria mabayo ina wajumbe kama Judgement, Kipipi na Ruttashobolwa. Lakini kwenye hili mimi nitakaa pembeni!

Kumbuka kwenye maamuzi ya mwisho ni mwenyekiti Baba V na ndiye aliye vunja ndoa yangu na Madame B!

Cc Kipipi
Judgement

hahahhahah MH rutta kwani mimi si ninasema kile client wangu alichoniambaia na vilelezo alivyonipa, nami ndio maana awali nilimwuliza mbona umekuwa ukitajwa na wanaume wengi na hukuwahi kukanusha kuwa ni waume wake, ndipo akaja na supporting doc amabzo zinamruhusu yeye kuolewa na zaidi ya mume mmoja, sasa mimi napotosha nini hapo? mheshimiwa sana, mi nafanyia kazi kile nilichoambiwa baada ya kupata supporting doc za kuthibitisha. na mkataba wenu wa ndoa amenipa tayari, na umesaini mh. kwani mimi nimesahau saini yako mh? hapani sijasahau!
halafu hati yako ya talaka pia nimeipata, katika hati hiyo ulisema umempa muda ajifikirie/ajirekebishe na siku akitaka kurudi milango iko wazi (talaka rejea au umesahau mh?) sasa kama unataka kufunga ndoa nyingine si vibaya, we fuatilia zile taratibu nyingine za kumpa talaka ya moja kwa moja kabisa na umpe stahiki zake. mh kila kitu iko wazi.
hizo taarifa zangu ni according to information nilizonazo toka kwa Madame B, sasa kama na wewe una zako ambazo ni kinyume na hizi ziweke kweupe tuzione, usiongee sana bila kuwa na supporting doc. mi sikatai umempa talaka, ila talaka uliyompa ilikuwa kama umempa likizo, kama sivyo weka jina la aliyeteuliwa kugawa mali!
 
Last edited by a moderator:
Ikumbukwe marekebisho hayo hayato athiri ndoa yangu!
Alaf kumbuka hayo yote yatapitia kamati yangu!

chief ni kwamba hatutungi mpya sheria inayompa Filipo khaki ya kumkagua akanana wako bali tunarekebisha iliyopo,
ila tambua mtego wa panya huwakamata waliomo na wasiokuwemo, hapa ni kuangalia namna ya kudelegete majukumu ukizingatia babu asprini amezeeka, na kasi ya kufunga ndoa hapa cc imekuwa ni kubwa kiasi ambacho hata kama angekuwa kijana asingeweza kuhimidi.
pili sababu ya kurekebisha sheria hii ni kuona kuwa mkaguliwa na mkaguzi hawachakachuani
na tatu ni ili kuongeza ufanisi katika zoezi zima la ukaguzi kwani lengo la ukaguzi
 
si ni ile ya kumruhusu Madam B kuolewa hata kama hajapewa talaka tatu bado maadam ana talaka moja kwa wakati anasubiria kuitwa na mume wake arudi. na ndoa hii haikuwahi kuwepo, ila wewe kwa nafasi yako kama chief judge ulisajili ndoa hiyo katika mahakama kuu ya chitchat yaani CCHC (ChitChat High Court), ina maana kwa kupingwa tu hadi umesahau? ama kweli mapenzi ni upofu
 
Unajua si mpaka uandike hila kitendo cha kupendekeza marekebisho hayo wakati wa tangazo la ndoa ni ushahidi tosha kuwa mpango ni ku ruin my marriage!

Kwa nini hayo mapendekezo yaje leo tena katikati ya tangazo la ndoa?

Kwa nini yasije baada ya hii ndoa?

Kwanza umesema madame b ni mteja wako hivyo ni wazi unataka kulazimisha ushindi!

Sikatai marekebisho lakini yasihusu ndoa za kipindi hiki!

Kwanza sijaona muswada wake!

Lazima kuna interest hapa!

Hebu muacheni kanana wangu passion lady apumue tena pumzi kubwa source cacico

chief, naona sasa unaanza kuchanganya mambo, je mi nimewahi kusema babu amedelegete majukumu yake kwa Filipo?
siwezi kuthibitisha jambo ambalo sikusema kwa kumbukumbu zangu, na ndio sababu nilisema inabidi sheria irekebishwe ili kutoa mwanya wa kudelegate majukumu ya ukaguzi
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa! Hebu niambe ni aina gani ya ndoa nimefunga na Madame B?

Ruttashobolwa naomba unisikilize kwa makini.
Kumbuka mimi hukunipa talaka na wala hujatoa tamko rasmi la Kuniacha,bali uliniambia kuwa niende nikazurure kwa wanaume wengine ila nikitaka kurudi milango iko wazi.
Sasa leo nashangaa uliposema eti umenipa talaka.
Nakataa kuwa HUKUNIPA TALAKA HIVYO BASI MIMI BADO NI MKE WAKO HALALI.

Na kuhusu suala la kuwa na waume wengi huo ni uamuzi mfikiwa kati ya Mwanamke na Mwanamme.
Na kumbuka kuwa wewe Ruttashobolwa ulinitoa ktk ndoa yangu ya awali kati yangu na Ruhazwe JR.
Japo sikupewa talaka.
Sasa mbona hukuwahi kuniuliza kama nilipewa talaka?

Wewe Arushaone, Chilli na tedo mtabaki kuwa waume zangu mpaka hapo Uamuzi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam upande wako.
Mahakama ya Mkaazi Arusha, upande wa Arushaone.
Mahakama ya Bukavu,Le Public of Congo,upande wa Chimbuvu.
Na Mahakama za Mwanzo Mwanza,upande wa tedo na Chilli zitakapothibitisha kwa maandishi kuwa umenipa talaka.
Ila otherwise,siwezi kubali ufunge ndoa na passion lady.

Voice of Wisdom,endelea na kazi,asikutishe.
 
Last edited by a moderator:
mkuu chief nakuelewa, mswada hautafanya kazi mpaka umepitishwa na kamati yako tukufu ya sheria ya chit chat na kamati ya baba v
 
mh, Rutta kanusha na hili tena madame B naomba na vielelezo viwepo tayari maana hapa naona kama kunataka kuwa na double standard
 
Hahahahahahahahahaha
we mwanamke unatunga sana!

Ndoa yangu na wewe ilivunjwa na Baba V na wewe ndiye uliye omba talaka baada ya kuanza kunicheat na mkongo Chimbuvu nilitaka kumsue nikamsamehe na kuku ruhusu uolewe na hakuna sheria inayo ruhusu mwanamke kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja!

Alaf haya malalamiko unatakiwa huyapeleke kwenye kamati kwani zimebaki siku 14 ndoa kufungwa!

Ruttashobolwa naomba unisikilize kwa makini.
Kumbuka mimi hukunipa talaka na wala hujatoa tamko rasmi la Kuniacha,bali uliniambia kuwa niende nikazurure kwa wanaume wengine ila nikitaka kurudi milango iko wazi.
Sasa leo nashangaa uliposema eti umenipa talaka.
Nakataa kuwa HUKUNIPA TALAKA HIVYO BASI MIMI BADO NI MKE WAKO HALALI.

Na kuhusu suala la kuwa na waume wengi huo ni uamuzi mfikiwa kati ya Mwanamke na Mwanamme.
Na kumbuka kuwa wewe Ruttashobolwa ulinitoa ktk ndoa yangu ya awali kati yangu na Ruhazwe JR.
Japo sikupewa talaka.
Sasa mbona hukuwahi kuniuliza kama nilipewa talaka?

Wewe Arushaone, Chilli na tedo mtabaki kuwa waume zangu mpaka hapo Uamuzi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam upande wako.
Mahakama ya Mkaazi Arusha, upande wa Arushaone.
Mahakama ya Bukavu,Le Public of Congo,upande wa Chimbuvu.
Na Mahakama za Mwanzo Mwanza,upande wa tedo na Chilli zitakapothibitisha kwa maandishi kuwa umenipa talaka.
Ila otherwise,siwezi kubali ufunge ndoa na passion lady.

Voice of Wisdom,endelea na kazi,asikutishe.
 
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa naomba unisikilize kwa makini.
Kumbuka mimi hukunipa talaka na wala hujatoa tamko rasmi la Kuniacha,bali uliniambia kuwa niende nikazurure kwa wanaume wengine ila nikitaka kurudi milango iko wazi.
Sasa leo nashangaa uliposema eti umenipa talaka.
Nakataa kuwa HUKUNIPA TALAKA HIVYO BASI MIMI BADO NI MKE WAKO HALALI.
Na kuhusu suala la kuwa na waume wengi huo ni uamuzi mfikiwa kati ya Mwanamke na Mwanamme.
Na kumbuka kuwa wewe Ruttashobolwa ulinitoa ktk ndoa yangu ya awali kati yangu na Ruhazwe JR.
Japo sikupewa talaka.
Sasa mbona hukuwahi kuniuliza kama nilipewa talaka?

Wewe Arushaone, Chilli na tedo mtabaki kuwa waume zangu mpaka hapo Uamuzi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam upande wako.
Mahakama ya Mkaazi Arusha, upande wa Arushaone.
Mahakama ya Bukavu,Le Public of Congo,upande wa Chimbuvu.
Na Mahakama za Mwanzo Mwanza,upande wa tedo na Chilli zitakapothibitisha kwa maandishi kuwa umenipa talaka.
Ila otherwise,siwezi kubali ufunge ndoa na passion lady.

Voice of Wisdom,endelea na kazi,asikutishe.

@Ruttashobolwa una kazi loya wetu.
 
Back
Top Bottom