Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

enheee!ASPRIN mwenyewe kakubali ndoa ifungwe,FILIPO umekomalia kutaka kuchungulia wake wa wenzio looooo,kwangu umenoa babu

Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
 
Last edited by a moderator:

mmh bora sie tumeghairi
 
Hizo njama tu nishakushtukia,RUTTA wangu ananipenda sana tu,hataki hazina yake iguswe,we chetuka tu lakini habari ndio hiyo!
 
nakushangaa maana umekuwa mzito sana kuelewa! Angekupenda angehakikisha anafuata sheria ili usije ingia matatizoni! Hapa hakuna ndoa itakayohalalishwa kama hujakaguliwa! That is the tradition, regulation and law! Na Ruttashobolwa anafahamu yote haya. Ndio maana nakwambia hakupendi!
 
Last edited by a moderator:
nakuhakikishia hakuna ndoa itafungwa hapa! Hata ya mkeka haifungwi hadi nikukague!!! Tutajuaje kwamba wewe ni Ke na sio Me?

mngeweza kumkagua mzungu.........., ningewaamini lakini kama kule mlishindwa hman mnachofanya reproductive kwenye hiyo ukaguzi secta
 
Hakuna sehemu amabapo Asprin amanukuliwa kudelegate power kwako! Huna mamlaka na ikiwezekana ntakufunga kwa kuingilia mahusiano yangu na kumtelekeza shem marejesho!

Nampenda sana akanana passion lady ndio maana sioni tabu kukufunga sema namuonea huruma shem marejesho asije akapata presha!
Asprin ame'deligate' swala la ukaguzi kwangu. Hana pingamizi la ndoa yoyote ila lazima muhusika akaguliwe. We endeleza ubishi ukidhani utakusaidia! You're wasting your time. Na huyo Ruttashobolwa anafahamu vizuri ila tu hakutaki ndio maana haoni tatizo kuvunja utaratibu tuliojiwekea! Angekuwa anakutaka/kupenda angefuata taratibu zote! Shtuka!!!!
 
Last edited by a moderator:
mngeweza kumkagua mzungu.........., ningewaamini lakini kama kule mlishindwa hman mnachofanya reproductive kwenye hiyo ukaguzi secta

Hilo ni moja kati ya mambo yanayotusababisha kuimarisha kitengo na kulazimisha ufuataji wa sheria. Na huyu passion lady atakuwa mfano!
 
Back
Top Bottom