Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

Babu Asprin amesema ukaguzi umemshinda na bado hajamkabidhi mtu kufanya ukaguzi! Na huyu filipo hawezi kwanza ana takiwa akamlehe mkewe kwa sasa!

kwa taarifa yako Asprin hajashindwa kazi. Wakukaguliwa wamekuwa wengi ndio maana ame'deligate' kazi yake kwangu. Na huyu aliyesema anakupenda lazima nimkague!
 
Last edited by a moderator:
Loop hipo kubwa sana hasa kwa filipo maana hakuna kipengele cha chit chata kinampa nguvu ya ukaguzi hata kama aliambiwa kwa mdomo hiyo sheria siyo written na hapo ndio ntamshinda!
hahaha, wapi umeona loop ya sheria ya ukaguzi, maana ulivyo na ujasiri ni kama kuna sehemu umeona loop ya kisheria
 
Back
Top Bottom