Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
- Thread starter
- #61
Mh!!!!
Gonzaga umeguna nini sasa!
Mh!!!!
Hakuna pingazi, na mmbarikiwe.
Apo ndo shoping ya harusi.....
''Nipe suti kumi kama za rutashobya, viatu vya gucci pair 9..kama vya rweyemamu..
...na mashat ya chuichui..pair nane..na mikanda ya chumachuma pair 7...
Unanierewa rakini...
Aaaghh kwani muuzaji.. Iro duka rote shiringi ngapiiii....!!!
(tangazo la voda)
Ndo hapo chacha charminglady!
Halafu hizi ndoa za wageni zitaturudisha kwa akina mzungu hunbig!!
Mgeni mwenyeji
Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
nafikiria kukusaidia, maana nikifanikiwa ktk hili lazimd niwe chief judge, wasiwasi wangu kwako madam b ni kwamba umekuwa ukitajwa na watu wengi sana na hukuwah kukanusha, itabidi ufike cchc ili tuweze kukusaidia, ila hakikisha cku unakuja rutta yupo buligu ili asipate access ya jf
business is business, upo tayari kugawana porsche iliyomzingua huyo aliyetangaza nia?
Unamkumbuka aliyekuwa mke wa Ruttashobolwa!?? alivyo kisirani yule lazima aweke pingamizi ingawa nae katangaza kutafuta mchumba baada ya kutangatanga na kuzionja zote
Na wafitini tunaruhusiwa kuchangia mada hii..??
Apo ndo shoping ya harusi.....
''Nipe suti kumi kama za rutashobya, viatu vya gucci pair 9..kama vya rweyemamu..
...na mashat ya chuichui..pair nane..na mikanda ya chumachuma pair 7...
Unanierewa rakini...
Aaaghh kwani muuzaji.. Iro duka rote shiringi ngapiiii....!!!
(tangazo la voda)
Kumbuka Ruttashobolwa hakunipa talaka wewe passion lady
halafu Madame B ni kwamba ile porsche ndo inamzingua huyo bidada, kuanzia alipoiona pale kebby na kubahatika kuingia kwa kgezo cha kutaka msaada wa kisheria, na rutta asivyokuwa na haya akamruhusu kuingia na kumpeleka home kwake. Yaani kama ni evidence zipo za kuua watu,yaani porsche ikitoka tu lazima utasikia bidada akitangaza nia tena!
Gonzaga umeguna nini sasa!