Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Nadhani anaongelea fundisho la Mwl Mwakasege kwamba mzaliwa wa kwanza ndiye lango la baraka kwenye familia, hivyo ili mbarikiwe ni muhimu kumwombea huyo amjue Mungu. Kama mzaliwa wa kwanza atakuwa na mwelekeo mbovu basi atafunga baraka za watoto wengine wote.

Tunaweza kujadili hilo kwa mujibu wa maandiko wakuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Pia kuwa lango si lazima awe ni mzaliwa wa kwanza. Hata wa pili anaweza akawa lango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ya nani ila wanachofanya ni kupeleka mzigo benki mara ya kwanza pale Mlimani City Branch kisha wanazitia zolizobaki kwenye gari ya mke wake (Diana Mwakasege) wanaondoka mnakutana kesho.
Account za Mana nyingi zinasoma jina la Diana Mwakasege
Huko benki zinaenda kuingizwa kwenye akaunti ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kunena kwa lugha, nashangaa lugha anayoongea ni hiyo hiyo kila siku hlf sijui ni lugha ya kabila gani ile

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapepo yale Yaani mashetani na ukitaka kuamini rejea mila hizi;

1.(kuanguka) mori- wamaasai
2.kupiga kifua au kuanguka mdadi (madadi)- baadhi ya waislam
3.kunena kwa lugha- baadhi ya wakristo
4.kuangusha watu kwa maombi - bAadhi ya watu wa tiba za midini
5.kugarauka-wamwera

Na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mapepo yale Yaani mashetani na ukitaka kuamini rejea mila hizi;

1.(kuanguka) mori- wamaasai
2.kupiga kifua au kuanguka mdadi (madadi)- baadhi ya waislam
3.kunena kwa lugha- baadhi ya wakristo
4.kuangusha watu kwa maombi - bAadhi ya watu wa tiba za midini
5.kugarauka-wamwera

Na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni mapepo maana wanajisemeaga tu. Kunena kwa lugha kupo ila iwe ni lugha ambayo inaexist sasa wao wanajiropokeaga tu makorokocho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!
Mm sitaki kukubaliana na ww wala kukupinga wala kukupuuza.Lakin nataman kuona maswali yako haya yanapatiwa majibu
 
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.
Sasa hivi ni Mwalimu wa neno la MUNGU; CV kubwa kuliko zote katika ulimwengu huu
 
mkuu siku niliyosoma hayo masimulizi ya kuhusu sedekia...Nilichukua karatasi rimu nyeupe nikaandika mahitaji yangu kwako Yesu kama kichwa.... Nikayataja kwa namba yani 1,2, &3 yangu yalikuwa mawili la kumuombea mtu lilikuwa moja (unapaswa uwaombee na wengine pia)

Nilikuwa nasali saa 5 usiku nasoma neno dakika 5, nasikiliza wimbo wa kuabudu dakika 5 then nazima taa chumbani napiga magoti karatasi inakaa mbele yangu naanza kusali na wala sikuwa nasali nusu saa, nilisali dakika 15 mpaka 20 basi..... Siku 3 nilifanya hvyo siku ya 3 Mungu akajidhihirisha kwangu, kuna mtu anaenifunga alikuwa mlangoni ilikuwa nguvu zinashindana na nilihisi kufa usiku ule ila Yesu alinisaidia,

Sema niligundua tu alienifunga alikuwa sio mtu mdogo alikuwa kwenye level kubwa sana ya ushirikina, kunamambo sitayaweka wazi ila sauti nilisikia alisema nimuache anaumia but Yesu alinisaidia.........



Sent using Jamii Forums mobile app
mkuuu nimependa hii...!!mbinu ya maombi uliyo tumia nita ku dm unifundishe maana naona kuna mambo mambo siyaelewi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NENO Linasema ijaribu kila roho ya kwamba imetokana na mungu!!!sasa wewe unaeamini kila mhubiri umekuwa punguani????hata yesu aliambiwa ana pepo sasa wachungaji wa sasa wasikosolewe???wao kina nani?mi nilisikia hayo REDIONI KUWA KUNA MTUMISHI ALIMTOA SADAKA MWIMBAJI WAKE KWA FREEMASON!TENA ALIMTOA KAFARA UGENINI TENA NCHI YA MBALI!!!SASA NIAMBIE SEDEKIA HAKUFIA ISRAEL?NITAJIE NANI MTUMISHI MAARUFU ALIEFIWA NA MWIMBAJI UGENINI TENA NCHI YA MBALI ?ZAIDI YA YEYE HAPA TZ???RFA KIPINDI SITOSAHAU!!!
Hiyo ni imani tu, hata kama sikuwepo ila naamini alikufa kama vifo vya watu wengine hata kama asingeenda hiyo safari angekufa tu, mbona Romani wa umini wao ufia huko kila mara lkn sijawahi kusikia zogo lolote.
 
1. Huyo sio Mchungaji Ni Mwalimu
2. Mambo ya kiroho hayalinganishwi kwa CV; kama ulisoma biblia japo kidogo utajua kuwa kigezo Cha kuwa mtumishi akipimwi kwa Elimu,tafuta CV ya Eliya, Gideon,. Samson, Jeremiah, Isaya na Petro.
3. Weredi wa Mwalimu Mwakasege ni kipawa Cha Mungu sio uwezo wake binafsi.
Unajua maana ya cv??, sio lazima uwe umesoma
 
Back
Top Bottom