Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mkuu mimi sio mlokole and sisali kanisani la walokole...ila nina imani yangu kwa Mungu ambayo ni thabiti

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku 3 nilifanya hvyo siku ya 3 Mungu akajidhihirisha kwangu, kuna mtu anaenifunga alikuwa mlangoni ilikuwa nguvu zinashindana na nilihisi kufa usiku ule ila Yesu alinisaidia,

Sema niligundua tu alienifunga alikuwa sio mtu mdogo alikuwa kwenye level kubwa sana ya ushirikina, kunamambo sitayaweka wazi ila sauti nilisikia alisema nimuache anaumia but Yesu alinisaidia.........
Nilikuuliza hivyo baada ya kuwa nimesoma maneno yako niliyoya-bold hapo juu. Ni kwa sababu mlokole anayeweza kufungwa na mambo ya giza ni yule tu aliyeasi. Yule ambaye hajaasi, huwa Mungu amemu-adopt na kumfanya mtoto wake, in as much the same way kama alivyokuwa Yesu wakati yuko hapa duniani. Ukiwa adopted, Yesu anakuwa Kaka, yaani yeye kazaliwa wa kwanza, halafu wewe ukafuata. Na kwa mantiki hiyo basi, mwana wa Mungu ni mkuu kuliko kiumbe kingine chiochote kile cha Mungu, na Malaika ni watumishi wake, yaani yeye yuko senior hata kwa Malaika. Ni vigumu kidogo ku-grasp idea hii kimwili lakini FACT iliyopo katika ulimwengu wa roho ni hiyo. Na kwa sababu anayefunga watu ni shetani,na shetani ni malaika, shetani yuko chini ya mamlaka ya mtoto wa Mungu kwa namna ya ajabu mno. ISIPOKUWA: Mungu wakati mwingine huwa anaruhusu mashambulizi kwa mtoto wa Mungu aliyesimama vizuri kwa ajili ya kuendelea kumuimarisha na kumfundisha. Kwa hiyo yapo mashambulizi kutoka kwa shetani kwa ajili ya watoto wa Mungu, yenye mlengo huo, lakini si vifungo, hivyo havipo kabisa, labda awe ni mlokole aliyenguka!
 
Amen nimekuelewa vizuri na kwakweli kwamuda ambao nilikuwa napitia haya majaribu sikuwa nimeokoka na sikushtuka mpaka nilipoamua kuanza kuomba na kubadilisha style ya maisha yangu...

Ni kweli ukiwa umeokoka na unaenenda katika njia thabiti Mungu hukukinga na mabaya muda mwingine hata kwa kutumia watu wa karibu yako.... Pia kuokoka kunaleta ondoleo la dhambi ambalo hufanya roho mtakatifu kuishi ndani yetu na kutusogeza karibu na Mungu....

Sema sahizi nipo imara na asante kwa concern yako mkuu....
Nilikuuliza hivyo baada ya kuwa nimesoma maneno yako niliyoya-bold hapo juu. Ni kwa sababu mlokole anayeweza kufungwa na mambo ya giza ni yule tu aliyeasi. Yule ambaye hajaasi, huwa Mungu amemu-adopt na kumfanya mtoto wake, in as much the same way kama alivyokuwa Yesu wakati yuko hapa duniani. Ukiwa adopted, Yesu anakuwa Kaka, yaani yeye kazaliwa wa kwanza, halafu wewe ukafuata. Na kwa mantiki hiyo basi, mwana wa Mungu ni mkuu kuliko kiumbe kingine chiochote kile cha Mungu, na Malaika ni watumishi wake, yaani yeye yuko senior hata kwa Malaika. Ni vigumu kidogo ku-grasp idea hii kimwili lakini FACT iliyopo katika ulimwengu wa roho ni hiyo. Na kwa sababu anayefunga watu ni shetani,na shetani ni malaika, shetani yuko chini ya mamlaka ya mtoto wa Mungu kwa namna ya ajabu mno. ISIPOKUWA: Mungu wakati mwingine huwa anaruhusu mashambulizi kwa mtoto wa Mungu aliyesimama vizuri kwa ajili ya kuendelea kumuimarisha na kumfundisha. Kwa hiyo yapo mashambulizi kutoka kwa shetani kwa ajili ya watoto wa Mungu, yenye mlengo huo, lakini si vifungo, hivyo havipo kabisa, labda awe ni mlokole aliyenguka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Huduma ya Ualimu Mkuu; NI changamoto ya Kiswahili Chetu; Watu wengi wanapotea sana; Huduma ziko nne tu Uchungaji, Utume, Unabii na Uinjilisti.

Iko Ivi; Lugha Yetu ya Kiswahili na pia Kiingereza Kinachangamoto ya maneno sana.

Huo Mstari uko ivi 'Naye alitoa wengine kuwa mitume,na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine Kuwa wachungaji (na) waalimu; Englishi iko ivi
And he gave some Apostles, and Some Prophets, and some evangelist and some pastors (and) Teachers

sasa Hiyo (and), (na) Sio Conjuction in Greek, greek ilitumia neno kai ambalo halina maelezo ya nayofuata sasa kai sio kiunganishi ni kama Connection ikiwa na maana ya (ambao, yaani na in englishi which is/are, therefore)

Hivyo from Original Language inabidi isome ivi:-
Naye alitoa wengine kuwa mitume,na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine Kuwa wachungaji ambao/yaani waalimu.

Kuna changamoto sana, huwa naona wahubiri wengi especially Africa, wanamuachia Roho mtakatifu, pasipo kufahamu kwamba bible ni maandishi, bila kufuata Misingi ya uandishi lazima utafundisha vitu nje na ilivyo maanishwa tangu awali. Kumbuka biblia haiwezi kumaanisha Leo, kitu ambacho muandishi wa kwanza alimaanisha.
Huduma ni nini? Kwa mtazamo wako kulingana na fundisho hilo la biblia
 
Huyo Mwakasege mafundisho yake ni utata mtupu. Anatumia muda mwingi kufundisha sijui mzaliwa wa kwanza sijui vitu gani badala ya kuhubiri habari za Yesu Kristo. Ni mpigaji tu na anatumia udhaifu wa watu kuhusu mafundisho ya Mungu
Haumini uwepo wa agano la kale?
Au ni mkirstu wa aleluya wewe?
 
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.
na ya MUFTI MKUU ABUBAKAR ZUBERI tafadhali sana.
A.jpeg
 
Kazimu haipo!

Kuzimu kulifungwa na yesu
Hahaha eti mtu mwenye uwakika atuhakikishie.
Kuna mtu alishaenda huko kuzimu huko na kumuona akiimba mpaka atuhakikishie?
Yesu alipokufa alikwenda kuzimu ambako roho zilikuwa zinakaa baada ya kufa rejea muujiza wa lazaro na mtoto) na alipofufuka ndiko alikotoka kurudi duniani kisha mbinguni

Yesu kwenda kuzimu ni kupeleka ukombozi pia kuzimu na kutangaza hukumu ya Mungu na ndiyo maana leo hakuna mizimu wala dada zake mizimu isipokuwa pepo( malaika waovu)

Kufunga kuzimu ni kuanzisha utawala mpya wa Mungu duniani na ndipo yesu alitangaza uwepo wa kiama na hukumu ya kweli

Kuanza dunia mpya ni utawala wa injili kama ukamilisho wa torati na mafundisho ya Mungu>>> from there sisi ndiyo tutahukumiwa

Tusidanganyike na mafundisho ya zamani ya kuzimu kama yale ya sadaka ya kuteketezwa, kujitawaza nk
 
Makanyaga na tanayzer
Uchawi ni imani tupu isikuwa na msingi kwani haitoki kwa Mungu wala shetani, sasa inatoka wapi hadi wewe kuamini ipo?

Ukipata majibu ya hilo ndipo utakumbuka mifano yote ya wachawi na miungu ya uongo kwenye agano la kale haikuwahi kupata msingi yaani kutokea,( wengi huwa tunafungwa na imani hii kisaikolojia>>kwa timing, coincidence na utendaji wa Mungu kupitia vipawa yaani magic craft

Najua hamsomi yoshua bin sira lakini kitafuteni 34:1-8. Alipopinga, ndoto, uchawi na mazingaombwe

Kumbukeni vita vyetu ni Mungu na shetani na si mwingine

Uchawi haupo na yesu hakuukuta kwani wayaudi walishakanyika na ndiyo maana hakufundisha japo alitutahadharisha dhidi ya waongo na mafundisho ya uongo


Kufunga siku tatu kunahitimisha Mungu kutoa majibu kwa mtu?
Kwa hiyo Mungu anaamrishwa na sala ya mtu?
Kama ndivyo basi corona ingeondoka, hta mimi niliwahi funga siku 9 ili mungu anionyeshe utume wangu kwakweli ni ndoto za kulazimisha kwani ufunuo ni upekee wa Mungu na haufanywi hivyo kwani hivyo ni kuona ndoto yako kwa kazi ya ubongo na si imani na pia tumekatazwa kuamini ndoto kwani. mungu hayumo kwenye ndoto
 
imeumaaa eeeeheeee chomoaa basi


Sent using Jamii Forums mobile app
Iume na nini... wakati hapa mnabishana wenyewe kwa wenyewe.. nyie malizaneni kisha anzisha uzi wa huyo kipozeo sio kumuingiza hapa ambapo ye hahusiki! Au unamtaka shekhe kipozeo? Shekhe hana noma ili mradi tu sifa yake ye anapenda mzigo, kama una mzigo nikupe namba yake, ila kama kimbaumbau kafie mbele.
N.b huu uzi wa mwakasege!
 
Back
Top Bottom