Mkuu mtapata dhambi bure alisimulia vizuri jinsi sedekia alivyokuwa akiumwa na hatua alizochukua ikiwemo kumuuliza Mungu kwa maombi kwanini sedekia haamki je wanaongea nini (sedekia na Mungu sedekia alikuwa ulaya Israel nadhani maana mtumishi alisema alikuwa anaenda bahari flan nmesahau jina ipo kwenye bible kusali......
Akasema kuna wakati alibadilisha maombi mazuri akawa anaweka chini nguo za sedekia usiku anasali kwa kuomba maombi ya Yeriko.......but mwisho Mungu alimjibu Sedekia harudi then alikufa.....
Niliwahi jaribu hiyo style ya kuomba sema mimi nilikuwa nimeandika maombi yangu kwenye karatasi then nadakika kwa kupiga magoti mbele zake siku 3 tu nilifunuliwa vile vitu nilivyokuwa navionba tena kwa upana zaidi...
Sent using
Jamii Forums mobile app