Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mkwala ya kweli haya?
Mimi najua anauzaga vitabu vyake,kuna siku alikuja eneo nililopo nikaenda kupata japo mawili matatu.Alisema yeye kwa hadhi yake imemlazimu kuajiri Wahasibu ili wamsaidie kwenye usimamizi wa sadaka/makusanyo.Alichonishangaza zaidi anasema watu wa hapa siyo watoaji kabisa "sisi tukifanya huduma A town au Dar tunaweza kusanya karibia 50M kwa Mkutano".Basi baada ya kauli ili nikamweka kundi la walewale tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nisaidie ufafanuzi japo Mie sio mfuasi wa Hawa manabii. Watu wanachaguA maeneo mbalimbali tulivu Kwa ajili ya kufanya ibada. Wengine milimani, bustanini, n.k n.k so Huyu mwalimu yeye alichagua baharini badala ya wodini
Kulikuwa hakuna haja ya kuweka site iliyotumika kufanyia maombi.Angesema tu nilimuomba Mungu jambo fulani basi.Taharuki nyingine zinaepukika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri tumehamisha mjadala wadau, tungerejea tu kwenye Cv yake km huna bora ukapita kimya maana naona tumejikita kwenye huduma yake lakini hili halikuwa uhitaji wa mwanzilishi wa uzi.
Binafsi kuhusu cv yake niliwahi kusikia alikuwa mtumishi wa serikali kwenye wizara ya fedha na mipango akaacha baada ya wito kiimanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huduma yake na yenyewe ni CV

Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Mkuu mbona kama ushapandisha mapepo
 
Huu upuuzi wako labda huko mnakouziwa maji na mafuta acha kuongea vitu usivyovijua
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujaelezea vizuri hiyo style uliyoomba. Plz share Kwa faida yangu.
mkuu siku niliyosoma hayo masimulizi ya kuhusu sedekia...Nilichukua karatasi rimu nyeupe nikaandika mahitaji yangu kwako Yesu kama kichwa.... Nikayataja kwa namba yani 1,2, &3 yangu yalikuwa mawili la kumuombea mtu lilikuwa moja (unapaswa uwaombee na wengine pia)

Nilikuwa nasali saa 5 usiku nasoma neno dakika 5, nasikiliza wimbo wa kuabudu dakika 5 then nazima taa chumbani napiga magoti karatasi inakaa mbele yangu naanza kusali na wala sikuwa nasali nusu saa, nilisali dakika 15 mpaka 20 basi..... Siku 3 nilifanya hvyo siku ya 3 Mungu akajidhihirisha kwangu, kuna mtu anaenifunga alikuwa mlangoni ilikuwa nguvu zinashindana na nilihisi kufa usiku ule ila Yesu alinisaidia,

Sema niligundua tu alienifunga alikuwa sio mtu mdogo alikuwa kwenye level kubwa sana ya ushirikina, kunamambo sitayaweka wazi ila sauti nilisikia alisema nimuache anaumia but Yesu alinisaidia.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hujaelezea vizuri hiyo style uliyoomba. Plz share Kwa faida yangu.
Pia kuna mtu hapo juu amesema ni upumbavu watu kuita asante Yesu bila kupumzika mara nyingi...... Binafsi sikujifunza style hiyo kwa Mwakasege ilikuja ty yenyewe ukiwa serious unavyosali au kuabudu sema hivyo....utajifunza kitu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli jamaa alojibiwa live Na Mungu au huwa wanajibiwa na Mungu kwa mfumo gani..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina nyingi za kujibiwa mkuu lakini sio face to face, maana binadamu waoga akitokea mtu mbele yako unaweza dhurika......huwa inakuwa kupitia ndoto au muda ukiwa unanena kwa lugha kuna taarifa huwa zinakujia tu kichwani nawewe utajikuta umeikazania ile taarifa.... Labda kama wengine wanajua tofauti

Au Unaweza kujibiwa Kwa kuona kile ulichokiomba kinakuwa km ukivyokuwa unaomba. Au kujibiwa kupitia watu...
 
Au Unaweza kujibiwa Kwa kuona kile ulichokiomba kinakuwa km ukivyokuwa unaomba. Au kujibiwa kupitia watu...
Ni kweli mkuu mimi ajira yangu ya kwanza nilisali Mungu anipe mtu sahihi anishike mkono.... Nikakutana nae katika eneo ambalo sikutarajia and the rest is history...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom