Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Wakuu habari za asubuhi,
Leo nikiwa nacheck kideo home Kuna Channel ya WRM tv nikaona ngoja nione huwa kuna vipindi gani humo, ndo nikamuona huyo sijui Mchungaji au sijui Nabii ama Mtumishi.
Basi alikuwa anatoa maombi yani anaomba anasema kama unataka kuwa bilionea Basi nyoosha mikono juu ukiwa na ufunguo, huku ukiwa unaomba.
Basi pale nikawa nacheck watu wanaanguka wengi walikuwa wanawake na kanisa kwa ujumla Wanawake walikuwa Wengi sana, ni kuanguka tu mara wanataka kutapika wanashindwa imladi ni vululu vululu, naomba mwenye CV yake aiweke hapa.