Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Sasa kana uko kwenye semina yake si umuombe yeye mwenyewe huko?
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua anauzaga vitabu vyake,kuna siku alikuja eneo nililopo nikaenda kupata japo mawili matatu.Alisema yeye kwa hadhi yake imemlazimu kuajiri Wahasibu ili wamsaidie kwenye usimamizi wa sadaka/makusanyo.Alichonishangaza zaidi anasema watu wa hapa siyo watoaji kabisa "sisi tukifanya huduma A town au Dar tunaweza kusanya karibia 50M kwa Mkutano".Basi baada ya kauli ili nikamweka kundi la walewale tu
 
Urongo
 
Mi nikishaona mhubiri yeyote wa dini kaongea kuhusu mambo ya hela....tayari nakuwa nimeshamuweka kwenye group la upigaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtapata dhambi bure alisimulia vizuri jinsi sedekia alivyokuwa akiumwa na hatua alizochukua ikiwemo kumuuliza Mungu kwa maombi kwanini sedekia haamki je wanaongea nini (sedekia na Mungu sedekia alikuwa ulaya Israel nadhani maana mtumishi alisema alikuwa anaenda bahari flan nmesahau jina ipo kwenye bible kusali......

Akasema kuna wakati alibadilisha maombi mazuri akawa anaweka chini nguo za sedekia usiku anasali kwa kuomba maombi ya Yeriko.......but mwisho Mungu alimjibu Sedekia harudi then alikufa.....

Niliwahi jaribu hiyo style ya kuomba sema mimi nilikuwa nimeandika maombi yangu kwenye karatasi then nadakika kwa kupiga magoti mbele zake siku 3 tu nilifunuliwa vile vitu nilivyokuwa navionba tena kwa upana zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hujaelezea vizuri hiyo style uliyoomba. Plz share Kwa faida yangu.
 
NENO Linasema ijaribu kila roho ya kwamba imetokana na mungu!!!sasa wewe unaeamini kila mhubiri umekuwa punguani????hata yesu aliambiwa ana pepo sasa wachungaji wa sasa wasikosolewe???wao kina nani?mi nilisikia hayo REDIONI KUWA KUNA MTUMISHI ALIMTOA SADAKA MWIMBAJI WAKE KWA FREEMASON!TENA ALIMTOA KAFARA UGENINI TENA NCHI YA MBALI!!!SASA NIAMBIE SEDEKIA HAKUFIA ISRAEL?NITAJIE NANI MTUMISHI MAARUFU ALIEFIWA NA MWIMBAJI UGENINI TENA NCHI YA MBALI ?ZAIDI YA YEYE HAPA TZ???RFA KIPINDI SITOSAHAU!!!
Usichokijua kiache rafiki,,,uliwahi kufuatilia report za madakatri kuhusu kifo cha sedekia? Usizushe taarifa usiyoijua,,ulifuatilia pia huyo aliyesimulia rfa kujiridhisha kama sedekia? Hata kama alimanisba sedekia unauhakika na alichokisema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......
Wew umtegemeaye mganga vip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU WA ELI NI TOFAUTI NA WA MWAKASEGE?ELI ALIAMBIWA KUHUSU WATOTO WAKE AMBAO HAKUWAKUZA KWA JINA LA BWANA!!!Ayubu alijaribiwa kwa utakatifu wake sio uovu wa watoto!!!Huwezi kuniambia Mwakasege alijaribiwa coz Ule ni uovu wa mtoto kuoa mke wa mtu!!hakuna jaribu hapo zaidi ya dhambi!jaribu la mungu humpata mwenye haki katika utakatifu wake na sio uovu wake!!!!LAZIMA ATATOA HESABU YA KURUHUSU MTOTO KUOA MKE WA MTU HADI AKAPOTEZA MAISHA KWA MSONGO WA MAWAZO!!!!!!aAliruhusu uovu wa mtoto hadi akapoteza maisha!Kwani mtoto alioa bila baraka ya WAZAZI WAKE?ACHA KUTETEA UJINGA!!!
Wew naamin ni mtu mzima kiasi,,watoto wa eli walivokosea baba yao si aliwaonya? Kwa nin hawakukubari,,watu wanaelekezwa wapaswacho kufanya wakikataa utawafanaje? Unaweza kuwa na ushawishi kwa watoto hata kama i wakubwa but you can not have full controls to them,,kuna watu malaya,,wasagaji,,mapunga n.k unafikiri wazazi wao hawawakemei kwa bidii?? Ninachomaanisba dhambi ya mtoto si dhambi ya baba,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua anauzaga vitabu vyake,kuna siku alikuja eneo nililopo nikaenda kupata japo mawili matatu.Alisema yeye kwa hadhi yake imemlazimu kuajiri Wahasibu ili wamsaidie kwenye usimamizi wa sadaka/makusanyo.Alichonishangaza zaidi anasema watu wa hapa siyo watoaji kabisa "sisi tukifanya huduma A town au Dar tunaweza kusanya karibia 50M kwa Mkutano".Basi baada ya kauli ili nikamweka kundi la walewale tu
Anawapiga sana pesa.
Jamaa mjanja anawateka wakristo wa madhehebu mengi..
Akijaga kufanya semina za nje dar wanakodi mpaka polisi wa kusindikiza pesa benki, na tawi LA karibu yake hawafungi mpaka atakapopeleka mzigo benki
 
Back
Top Bottom