Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Taahira wewe
NENO Linasema ijaribu kila roho ya kwamba imetokana na mungu!!!sasa wewe unaeamini kila mhubiri umekuwa punguani????hata yesu aliambiwa ana pepo sasa wachungaji wa sasa wasikosolewe???wao kina nani?mi nilisikia hayo REDIONI KUWA KUNA MTUMISHI ALIMTOA SADAKA MWIMBAJI WAKE KWA FREEMASON!TENA ALIMTOA KAFARA UGENINI TENA NCHI YA MBALI!!!SASA NIAMBIE SEDEKIA HAKUFIA ISRAEL?NITAJIE NANI MTUMISHI MAARUFU ALIEFIWA NA MWIMBAJI UGENINI TENA NCHI YA MBALI ?ZAIDI YA YEYE HAPA TZ???RFA KIPINDI SITOSAHAU!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!
 
Una mawazo ya kijinga sana,Mwakasege anamiliki roho?? Kwani ukishakuwa mtumishi wa MUNGU ndy huwezi kupata matatizo?? Ayubu aliyefiwa na watoto wake wote unamuongeleaje wewe?? Inamaana hakuwa mtumishi wa MUNGU sababu hakuonywa na roho?? Vitu vingine mnajitafutia laana sababu ya kuwasema vibaya wapakwa mafuta wa MUNGU
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Una historia ila so zote Mwakasege hana hizo mambo unaZoongelea...tunamjua...
 
Sina cv yake. Mimi namheshimu ila ninawasiwasi na doctrine yake ya "mzaliwa wa kwanza lango la baraka"

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Kwahiyo mpaka historia ya mwakasege unayo pia? Au umekariri tu?
 
Yatasemwa mengi sana kwenye huu uzi,ngoja wengine tuwe wasomaji tu wa yatiririkayo.
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

Wamelishwa unga wa ndere Hawa hawawezi kukuelewa
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

hata yesu alipelekwa jangwani na shetani kujaribiwa, je kwanini hakukataa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom