Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Una mawazo ya kijinga sana,Mwakasege anamiliki roho?? Kwani ukishakuwa mtumishi wa MUNGU ndy huwezi kupata matatizo?? Ayubu aliyefiwa na watoto wake wote unamuongeleaje wewe?? Inamaana hakuwa mtumishi wa MUNGU sababu hakuonywa na roho?? Vitu vingine mnajitafutia laana sababu ya kuwasema vibaya wapakwa mafuta wa MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU WA ELI NI TOFAUTI NA WA MWAKASEGE?ELI ALIAMBIWA KUHUSU WATOTO WAKE AMBAO HAKUWAKUZA KWA JINA LA BWANA!!!Ayubu alijaribiwa kwa utakatifu wake sio uovu wa watoto!!!Huwezi kuniambia Mwakasege alijaribiwa coz Ule ni uovu wa mtoto kuoa mke wa mtu!!hakuna jaribu hapo zaidi ya dhambi!jaribu la mungu humpata mwenye haki katika utakatifu wake na sio uovu wake!!!!LAZIMA ATATOA HESABU YA KURUHUSU MTOTO KUOA MKE WA MTU HADI AKAPOTEZA MAISHA KWA MSONGO WA MAWAZO!!!!!!aAliruhusu uovu wa mtoto hadi akapoteza maisha!Kwani mtoto alioa bila baraka ya WAZAZI WAKE?ACHA KUTETEA UJINGA!!!
 
1. Huyo sio Mchungaji Ni Mwalimu
2. Mambo ya kiroho hayalinganishwi kwa CV; kama ulisoma biblia japo kidogo utajua kuwa kigezo Cha kuwa mtumishi akipimwi kwa Elimu,tafuta CV ya Eliya, Gideon,. Samson, Jeremiah, Isaya na Petro.
3. Weredi wa Mwalimu Mwakasege ni kipawa Cha Mungu sio uwezo wake binafsi.
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!
Unajipalia makaa kichwani kwasababu ya kutumika na shetani yaani hata biblia husomi?kupatwa na mabaya unakuwa sio mtumishi wa Mungu Ayubu alikuwa mtumishi wa shetani,umelaniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mawazo ya kijinga sana,Mwakasege anamiliki roho?? Kwani ukishakuwa mtumishi wa MUNGU ndy huwezi kupata matatizo?? Ayubu aliyefiwa na watoto wake wote unamuongeleaje wewe?? Inamaana hakuwa mtumishi wa MUNGU sababu hakuonywa na roho?? Vitu vingine mnajitafutia laana sababu ya kuwasema vibaya wapakwa mafuta wa MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah tumeandika kama vile tulipatana,hii ina aliendika utumbo huo ajitafakari achukue hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo Arusha kwenye semina ya mwakasege aisee huyu mzee ni mchungaji hasa anakipaji Cha kujenga hoja na kushawishi pia ni orator mzuri mno hachoshi kumsikiliza hakika amenibariki Sana. Jina la bwana lihimidiwe kupitia huyu mtumishi wa Mungu.

Naomba mwenye CV yake AIWEKE hapa na niliwahi kusikia ni mchumi mzuri na mkapa alimtumia naomba authentication ya haya.

Mungu mbariki mwakasege.
Endelea na kukashifu serikali mambo ya mwakasege mwachie mama mwakasege!
 
MUNGU WA ELI NI TOFAUTI NA WA MWAKASEGE?ELI ALIAMBIWA KUHUSU WATOTO WAKE AMBAO HAKUWAKUZA KWA JINA LA BWANA!!!Ayubu alijaribiwa kwa utakatifu wake sio uovu wa watoto!!!Huwezi kuniambia Mwakasege alijaribiwa coz Ule ni uovu wa mtoto kuoa mke wa mtu!!hakuna jaribu hapo zaidi ya dhambi!jaribu la mungu humpata mwenye haki katika utakatifu wake na sio uovu wake!!!!LAZIMA ATATOA HESABU YA KURUHUSU MTOTO KUOA MKE WA MTU HADI AKAPOTEZA MAISHA KWA MSONGO WA MAWAZO!!!!!!aAliruhusu uovu wa mtoto hadi akapoteza maisha!Kwani mtoto alioa bila baraka ya WAZAZI WAKE?ACHA KUTETEA UJINGA!!!
Mkuu huna unachokijua nyamaza tu. Alaf imani ni swala LA MTU binafsi we amini uelevu wako sie tuacheni na ujinga wetu .maana wokovu pia ni neema ya mungu.
 
1. Huyo sio Mchungaji Ni Mwalimu
2. Mambo ya kiroho hayalinganishwi kwa CV; kama ulisoma biblia japo kidogo utajua kuwa kigezo Cha kuwa mtumishi akipimwi kwa Elimu,tafuta CV ya Eliya, Gideon,. Samson, Jeremiah, Isaya na Petro.
3. Weredi wa Mwalimu Mwakasege ni kipawa Cha Mungu sio uwezo wake binafsi.
Kwa sasa maarifa ni jambo muhimu sana.
Huwezi kuwa huna elimu ufundishe kitu. Hata hilo neno la Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakuunga kabisa watu wasiojua na Wana hisia Kali watapinga sana
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we sema tu kuwaweka wazi
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umemaliza ngoja na omo ya kutosha tu
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina historia kubwa na hawa watu wanaosema roho mtakatifu ddjkasema!Roho mtakatifu kasema agano hili la kichawi linavunjwa kwa sh.200000/=,kumkomboa mtoto kutoka kwenye mizimu sadaka ya 20,000/= roho kasema!!!NINA HISTORIA NA HAWA WATU NA MAHUBIRI YA SADAKA ZAO ZA UKOMBOZI NA UTAJIRI WA KUBARIKIWA SIJAKURUPUKA MIMI SIO MJINGA WA IMANI HIZI!!Niliwahi shiriki semina zake!!!!Acheni ujinga wa kuamini kila kitu!!
Agano linavunjwa kwa hela??? Damu ya Yesu haitoshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu relax, kuna watu wana mahaba na watu kuliko walivyo na mahaba na kristo mwenyewe. Haya hivyo kwenye suala la mtoto sikuungi mkono, hakuna watu wana changamoto kama watoto wa watumishi wa Mungu
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......
Umeeleza vzr brother,sielewagi yale maneno ya shakarobo rikondo mtu msomi unayatamka ya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......
Hiyo (shobakora)ni kifupi cha stan bakora yule comedian
 
Back
Top Bottom