Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

Mkuu inatosha kusema kwamba inawezekana kati ya haya mawili:-
1. Inawezekana Anajua (ila alijua kwa kuchelewa wakati amesha-takeoff na sasa anahisi Guilty namna ya kuignore)
2. Inawezekana hajui kabisa ( Hapa wahubiri wengi ndio wanaangukia hapa, ignorant tu, ambayo kama effort ipo inatoka)

Ishu inayowakumba watumishi wengi ni Uvivu,Huwezi kuwakamilisha Watakatifu kama Efeso inavosema ukiwa Mvivu, Lakini pia Ishu inayowakumba Waamini wengi ni Uvivu pia, Kuna watu walikuwa wanaitwa Waberoya, wao Paulo alipokuja kuwahubiri, kabla ya Kuamini walidhibitisha kwanza kama Paulo anachohubiri ndivyo ilivyo, Lakini kuna wathesalonike wao walipokea Moja kwa moja; Lakini Changamoto Kubwa ya Christianity iliyopelekea kuwa na Doctrine Nyingi Kwanza kabisa ni Lugha; Ndio maana kwenye Muslim unakuta Migawanyiko ya Doctrine sio mingi maana wao Dunia Nzima wanajifunza Imani yao kutoka soma kutoka kwenye Lugha ya Asili. Lakini Pili ni Kwamba Pamoja na Hiyo Lugha, Bado wanashindwa Kutoa maana kwenye Bible verse wanatoa maana zao;
Lakini bado sisi Tunayonafasi, ijapo ilikuwa Hivyo Bado kama watakuwepo Wahudumu wazuri wa kuwakamilisha watakatifu , ambao wana Juhudi na Nia kabisa ya kutaka kujifunza na Kuelewa na kisha kuwaelewesha wengine Inawezekana.

Believe me ukisoma Kutoka kwenye Hebrew na Greek ( Hawatofautiani kabisa) Tofauti inaanza kuja kwenye English, na Kiswahili chetu;

Sio Nje ya Topic Mkuu; Ndio maana nikasema Kuna changamoto Kubwa Mno kwa Watumishi wa Mungu ikiwemo Yeye Pia; ROHO Mtakatifu sio Substitute ya Kanuni za Usomaji; Ili uelewe Biblia ambayo ni maandishi lazima Kuzingatia Kanuni za Uandishi na Usomaji; Biblia inahitaji Kusoma Pre text (Maandishi Kabla), Context (Mazingira kiini), Post Text (maandish Baada), Kuchukua Mstari mmoja kumegharimu mno Wahudumu wa Neno; Lakini pia Watumishi wengi ni wavivu, wanajificha kwenye kivuli cha Roho Mtakatifu hapo ndipo changamoto inaanza; Ukishakuwa na Huduma kati ya zile nne, Hakuna Option mzee; Ni muhimu ujifunze, vitu in deep kabisa;
Asante kwa kudadavua.. Nmejifunza Mengi
 
mkuu siku niliyosoma hayo masimulizi ya kuhusu sedekia...Nilichukua karatasi rimu nyeupe nikaandika mahitaji yangu kwako Yesu kama kichwa.... Nikayataja kwa namba yani 1,2, &3 yangu yalikuwa mawili la kumuombea mtu lilikuwa moja (unapaswa uwaombee na wengine pia)

Nilikuwa nasali saa 5 usiku nasoma neno dakika 5, nasikiliza wimbo wa kuabudu dakika 5 then nazima taa chumbani napiga magoti karatasi inakaa mbele yangu naanza kusali na wala sikuwa nasali nusu saa, nilisali dakika 15 mpaka 20 basi..... Siku 3 nilifanya hvyo siku ya 3 Mungu akajidhihirisha kwangu, kuna mtu anaenifunga alikuwa mlangoni ilikuwa nguvu zinashindana na nilihisi kufa usiku ule ila Yesu alinisaidia,

Sema niligundua tu alienifunga alikuwa sio mtu mdogo alikuwa kwenye level kubwa sana ya ushirikina, kunamambo sitayaweka wazi ila sauti nilisikia alisema nimuache anaumia but Yesu alinisaidia.........



Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mlokole?
 
Sidhani kama ni mapepo maana wanajisemeaga tu. Kunena kwa lugha kupo ila iwe ni lugha ambayo inaexist sasa wao wanajiropokeaga tu makorokocho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, siyo lazima iwe ni lugha inayo-exist katika lugha zilizopo za wanadamu hapa duniani, isipokuwa inakuwa ni lugha special ambaya mtu anaweza akanena halafu watu ambao ni makabila tofauti wote kwa pamoja kila mmoja akawa ana uwezo wa kumsikia mtu huyo. Kwa mfano, mtu A anaweza akawa ananena kwa lugha. ambayo si kichagga, wala siyo kiingereza au kisukuma, lakini msukuma na mwingereza na mchagga wote kwa pamoja wakawa wanamsikia, na kila mmoja akiwa anasikia katika lugha ya kabila lake, yaani msukuma akawa anasikia kisukuma, mchagga anasikia kichagga, na mwingereza kiingereza. Sema taaluma hii wakati mwingine inatumika vibaya na watu ambao wana malengo tofauti, ila kwa mtumishi mwenye uzoefu kama Mwalimu Mwakasege, lazima yeye atakuwa anafaidika sana na huduma hii, ila kenge pia wapo, kwenye msafara wa mambba!
 
Walokole bwana ukishawaambia Roho Mtakatifu ameongea na mimi, maswali yanaisha, akili zao zote zinapotea, unawaburuza tu.
Ukishamwambia hivyo mtu ambaye na yeye tayari ana uzoefu wa kusemeshwa na Roho Mtakatifu (RM), yaani ambaye alishawahi kupata expereience ya kuongea na RM, mtu kama huyo anakuwa hana sababu ya kuku-doubt. Sema kuna baadhi sasa ambao wamejaliwa karama za kupambanua roho na kujua kama kweli kama RM amesema na mtu anayejitaja ama la, ila waumini walio wengi, angalau kila mmoja analo tukio la uhakika kabisa ambalo RM alishawahi kusema naye, na hivyo wanakuwa hawana sababu ya kumshuku mtu mwingine kama RM amesema naye ama la kwa sababu kwao inakuwa ni kawaida kama vile binadamu kula chakula.

Kwa mfano, huwezi ukapata mgeni nyumbani kwako wewe halafu ukawa una shaka kuwa pengine huwa hali chakula kwa sababu ni kawaida kwamba kila mtu lazima huwa anakula chakula
 
Hakuna Huduma ya Ualimu Mkuu; NI changamoto ya Kiswahili Chetu; Watu wengi wanapotea sana; Huduma ziko nne tu Uchungaji, Utume, Unabii na Uinjilisti.

Iko Ivi; Lugha Yetu ya Kiswahili na pia Kiingereza Kinachangamoto ya maneno sana.

Huo Mstari uko ivi 'Naye alitoa wengine kuwa mitume,na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine Kuwa wachungaji (na) waalimu; Englishi iko ivi
And he gave some Apostles, and Some Prophets, and some evangelist and some pastors (and) Teachers

sasa Hiyo (and), (na) Sio Conjuction in Greek, greek ilitumia neno kai ambalo halina maelezo ya nayofuata sasa kai sio kiunganishi ni kama Connection ikiwa na maana ya (ambao, yaani na in englishi which is/are, therefore)

Hivyo from Original Language inabidi isome ivi:-
Naye alitoa wengine kuwa mitume,na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine Kuwa wachungaji ambao/yaani waalimu.

Kuna changamoto sana, huwa naona wahubiri wengi especially Africa, wanamuachia Roho mtakatifu, pasipo kufahamu kwamba bible ni maandishi, bila kufuata Misingi ya uandishi lazima utafundisha vitu nje na ilivyo maanishwa tangu awali. Kumbuka biblia haiwezi kumaanisha Leo, kitu ambacho muandishi wa kwanza alimaanisha.
Biblia ya Kiswahili ina chnagamoto kubwa sana kwenye tafsiri ya baadhi ya maneno. Inaonyesha KAMA ilitafsiriwa na watu ambao msamiati wao wa Kiswahili haukuwa kamili, na hawakuwa NATIVE SWAHILI SPEAKERS. Kuna chnagamoto kubwa sana kwenye hili
 
Biblia ya Kiswahili ina chnagamoto kubwa sana kwenye tafsiri ya baadhi ya maneno. Inaonyesha KAMA ilitafsiriwa na watu ambao msamiati wao wa Kiswahili haukuwa kamili, na hawakuwa NATIVE SWAHILI SPEAKERS. Kuna chnagamoto kubwa sana kwenye hili
Yes kweli kabisa Mkuu; Ndio maana Doctrine nyingi; Ila ndio maana Wafundisha Neno, ilitakiwa waji-equip vya kutosha kuwakamilisha waamini kuhusu Neno la Mungu; Sasa tatizo wafundishaji nao wavivu wanaanzia hapohapo ambao wafundishwaji wanajua;
 
Hapana, siyo lazima iwe ni lugha inayo-exist katika lugha zilizopo za wanadamu hapa duniani, isipokuwa inakuwa ni lugha special ambaya mtu anaweza akanena halafu watu ambao ni makabila tofauti wote kwa pamoja kila mmoja akawa ana uwezo wa kumsikia mtu huyo. Kwa mfano, mtu A anaweza akawa ananena kwa lugha. ambayo si kichagga, wala siyo kiingereza au kisukuma, lakini msukuma na mwingereza na mchagga wote kwa pamoja wakawa wanamsikia, na kila mmoja akiwa anasikia katika lugha ya kabila lake, yaani msukuma akawa anasikia kisukuma, mchagga anasikia kichagga, na mwingereza kiingereza. Sema taaluma hii wakati mwingine inatumika vibaya na watu ambao wana malengo tofauti, ila kwa mtumishi mwenye uzoefu kama Mwalimu Mwakasege, lazima yeye atakuwa anafaidika sana na huduma hii, ila kenge pia wapo, kwenye msafara wa mambba!
Upo sahihi. Tatizo wenzetu hawa wananena lugha inayofanana kila mtu rabashaka sijui nini..yaani wamekariri .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi. Tatizo wenzetu hawa wananena lugha inayofanana kila mtu rabashaka sijui nini..yaani wamekariri .

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hiki kitu cha kunena kwa lugha siyo cha kuamua tu kwamba sasa ninene kwa lugha. Kinatakiwa kitoke nje ya maamuzi yako, na kiwe spontaneous, baada ya kuwa umekuwa katika "a highly meditative state" kwa ajili ya Mungu wako. Sasa unakuta mtu anaamua tu pasipo kuwa na tafakuri yoyote ya hali ya juu. Kunena kwa lugha kunatakiwa kumpitiie mtu kama ambavyo mtu huwa unapitiwa na usingizi. Kwenye usingizi huwa tunajikuta tu tayari tumeshasinzia, huamui wewe kwamba sasa nisinzie. Maamuzi unayofanya ni ya kulala, yale ya kusinzia yanakuwa siyo ya kwako, na ndiyo maana wakati mwingine unaweza ukaenda kitandani kualala lakini usisinzie. Kwenye hili swala nalo mimi nakiri kuwa kuna kitu kimejificha mule ila ni vigumu sana kwa walio wengi kukiona sawasawa
 
Mi nimesema nilivosikia kosa langu ni lipi??Mi nawauliza swali JUZI JUZI kuna kijana wake amefariki kwa msongo wa mawazo ya kuachwa na mpenzi wake aliekuwa tayari na mtoto mmoja!!Sasa yeye kama mzazi na mtumishi hakuonyeshwa na roho wake kuwa uchumba wa mwanae hautodumu?hadi mtoto akafa kwa msongo wa mawazo??NAOMBENI MAWAZO YENU HAPA!!!

Fact
 
Ana gospal ya "mwamba ngoma" kuna

1. mzaliwa wa kwanza
2. Kupanda mbegu
3.kupayuka payuka Asante Yesu Asante Yesu...kama way ya kupokea Roho Mtakatifu
4. Kuongea maneno yasio na tafsiri kama "Rika rikondo ro shabakora"
5. Kukusanya mapato kidhalimu kama sadaka ya utakaso
6.kujivika utauwa utasikia alikuja " Yesu Mungu aliniambia mara Roho Mtakatifu kaniambia
7 . Bado anaamini Uyahudi kuliko Kristo nini safari za Israel?
8. Anajua udhaifu wa waumini anapinga theology ila yeye anaisoma akapata maarifa anatengeneza somo huku akidai ni Mungu kamfafanulia
9. Ni mthiologia mjanja mjanja anayetumia furusa vizuri

NB. Waufuasi wake watakuja na mapovu ya kutosha ila ujumbe ufike na ole wake amtegemeaye mwanadamu na kumfanya.......
Tunasubiri semina elekezi toka kwako mpakwa mafuta wa chuki, wewe usiye mtegemea mwanadamu tupe mafundisho basi
 
Kwa kusoma comments humu inaonesha jinsi gani watu tunapenda kukuza mabaya ya wengine, mtoa mada kauliza wasifu, kama hujui mazuri ya mtu then kaa kimya. kwa nini umseme mwingine kwa mabaya?. Haya let's say huyu mtumishi ni mpigaji na mkosefu sana, wewe mwenye umakini na uelewa mkubwa wa neno na roho ya utambuzi wa watumishi umeongeza thamani gani kwenye ufalme wa Mungu? kumuattack mtu kwa sababu ya kifo cha mtoto wake is so lame, go sort your life, sio kwa Mwakasege tu, kwa mtu yeyote.
 
Mkuu mtapata dhambi bure alisimulia vizuri jinsi sedekia alivyokuwa akiumwa na hatua alizochukua ikiwemo kumuuliza Mungu kwa maombi kwanini sedekia haamki je wanaongea nini (sedekia na Mungu sedekia alikuwa ulaya Israel nadhani maana mtumishi alisema alikuwa anaenda bahari flan nmesahau jina ipo kwenye bible kusali......

Akasema kuna wakati alibadilisha maombi mazuri akawa anaweka chini nguo za sedekia usiku anasali kwa kuomba maombi ya Yeriko.......but mwisho Mungu alimjibu Sedekia harudi then alikufa.....

Niliwahi jaribu hiyo style ya kuomba sema mimi nilikuwa nimeandika maombi yangu kwenye karatasi then nadakika kwa kupiga magoti mbele zake siku 3 tu nilifunuliwa vile vitu nilivyokuwa navionba tena kwa upana zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
We mla tunda kimasikhara kumbe upo vizuri na kwa upande wa kusema na Mungu
 
Back
Top Bottom