sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Njaa aisee unajua naumwa njaa mbaya sana lol utadhani sijala tangu jana asubuhi
Ngoja nikajidunge supu ya mkia wa Kondoo faster
Khaaa sa si uende ukale?......nikufuate kwenye thupu?
Njaa aisee unajua naumwa njaa mbaya sana lol utadhani sijala tangu jana asubuhi
Ngoja nikajidunge supu ya mkia wa Kondoo faster
Nimepika njoo ukule basi !
marhaba mwanafunzi wanguMimi mzima shikamooo mwalimu!
Heheheee Bishanga nae hajambo?
Hahahaaa Mr Rocky naomba niuze hili dude langu nikupe ukawawezehe maana moyo umenisuta lol
Utanipa shilingi ngapi?
View attachment 58972
..inabidi arejee ule uzi wa 3 Bomba...hahahahahaha..mtu chake jamaa mbishi huyo kama nini hawezi kukubali
Muone kwanza anavyobisha na kujifanya hajui kitu kabisa
utasutwaje sasa we mkaka??? hebu tuache siye!Hahahaaaa mtasema tu mlivyo wambea lol
Sidhani kama itakuwa siri
OMG! Yaani my wives Yummy na cacico mmeamua kunifanyia usaliti hazarani namna hii? Amakweli ng'ombe wa maskini hazai. Kwahiyo nimebakiwa na mke mmoja tu mwaminifu BADILI TABIA....namjua babu yetu, tena nimeshampata wa kuchakachua naye, hatatukamata ng'o! kwa raha zetu, lol!
OMG! Yaani my wives Yummy na cacico mmeamua kunifanyia usaliti hazarani namna hii? Amakweli ng'ombe wa maskini hazai. Kwahiyo nimebakiwa na mke mmoja tu mwaminifu BADILI TABIA....
Kwa hasira ntatembea mtaani uchi leo.
Best zangu Kaizer, Bishanga na Erickb52 hebu njooni mnitafutie mbadala wa hawa wake.... Nichagulieni wawili kati ya charminglady, sweetlady, Catherine, CUTE, ummu kulthum, Erotica na Amyner.
Chondechonde msimwambie Kongosho tafazali.
Tena weye nrudishie kile kivazi nlichokununulia siku ya valentine.Kwi kwi kwi kwiiiii BADILI TABIA hebu fika pande hizi uchekeee mtu anavyojipa mahopuuu!
Ama kweli wewe Asprin ni kipofu haswaaa yaani hao mabesti zako ungejua ndio wanaokuchakachulia mmmhh acha ni :shut-mouth:
uwiiiiiiiiiiiiiii hubby! hebu njoo bwana uvae japo boxer tu! huuby sichakachui tena, naona kama utawehuka, luv u papito khaaaaa!OMG! Yaani my wives Yummy na cacico mmeamua kunifanyia usaliti hazarani namna hii? Amakweli ng'ombe wa maskini hazai. Kwahiyo nimebakiwa na mke mmoja tu mwaminifu BADILI TABIA....
Kwa hasira ntatembea mtaani uchi leo.
![]()
Best zangu Kaizer, Bishanga na Erickb52 hebu njooni mnitafutie mbadala wa hawa wake.... Nichagulieni wawili kati ya charminglady, sweetlady, Catherine, CUTE, ummu kulthum, Erotica na Amyner.
Chondechonde msimwambie Kongosho tafazali.
Thats ma girlie.... Mwambie na mke mwenzio Yummy bathi? Vinginevyo beach naihamishia rodini mpaka kieleweke.....uwiiiiiiiiiiiiiii hubby! hebu njoo bwana uvae japo boxer tu! huuby sichakachui tena, naona kama utawehuka, luv u papito khaaaaa!