sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Labda baba yao hana uwezo wa kuwatunza
Ngoja niwahesabu ninao wangapi na nione kama nina uwezo wa kuwatunza then ntamjibu Mr Rocky ingawa wale ni wakwake ila ananisukumizia mimi tu
Siunaona alikwenda Meatu kwaona?
Tena amemuachia mama yao Mimba nyingine Lol
Hana hata huruma aiseee
Khaaa kweli umeshindikana daaaah mpaka hujui idadi ya wanao?......hehehe kumbe Mr Rocky alivoenda meatu ndio alienda kuangalia watoto eeh? ..... Maskini Yummy na mapacha wake atajibeba!
Last edited by a moderator: